JAMHURI
JF-Expert Member
- Dec 15, 2010
- 449
- 60
Mkurugenzi wa Namaingo: Biubwa Ibrahim afunguka kimkakati...
Leo tarehe 15 ofisi za Namaingo Business Agency Ltd chini ya Mkurugenzi, Bi. Biubwa Ibrahimu, imefafanua jinsi kampuni inavyokwenda kimkakati kutekeleza miradi ya wananchi kwa kushirikiana na wadau mbali mbali wa vyombo vya fedha.
Biubwa Ibrahim, Mkurugenzi mtendaji wa kampuni hiyo akiwa na wanachama hao ameeleza kuwa ana matarajio ya kuwekeza mradi mkubwa wa ufugaji wa nyuki wilaya ya Kibiti iliyopo Mkoa wa Pwani.
Katika hatua hiyo nyoyo na nyuso za wanachama hao zilionekana kuwa na tabasami pamoja na furahi baada ya kusikia mipango hiyo, kazi ya mkurugenzi na kamati ya wanachama ikiwasilisha taarifa.
Ikumbukwe kuwa shughuli hii ni shirikishi na yenye matokeo chanya ya kimkakati pale kampuni inapowekeana mkataba na mteja wake wa namna ya kumnasua na umaskini wa kipato kwa kulima ama kufanya biashara kwa tija
Bado nafasi unayo, ukiamua kuondokana na umaskini wa kipato ungana na Kampuni ya Namaingo ambayo milango iko wazi muda na wakati wote kwa mwanachama aliyeamua kuondokana na umaskini
KARIBUNI KWA PAMOJA TUNAWEZA.