The Mongolian Savage
JF-Expert Member
- Jul 5, 2018
- 9,259
- 20,520
Mzuqa
Michael B Jordan aliyecheza kama katika Sinema iliyofanya vizuri sana sokoni mwaka Blank Panther atachukua nafas iliyoachwa wazi ya Superman Henry cavil ambaye ametofautiana na studio za warner Bro
Jordan atakuwa mwafrika wa kwanza kuvaa suti ya blue ya superman kwenye bonge la movi inatarajiwa kuzinduliwa mwakan april jina la movie Shazam.
Michael Bakari Jordan alizaliwa 1987 San Diego California. Wako watat dada yake Jamila na mdogo wake Khalid.
Dogo Mike anazidi kututoa watu weusi kwa kupata bonge la shavu.
Pia tumuombee Idris Elba ambaye atakuwa JamesBond wa kwanza mwafrika mweusi japo anapigwa vita vya kufa mtu kucheza iyo nafasi. Idris mwingereza mwenye asili ya Sierra Leone kashawahi kucheza kama Mandela kwenye movie ya the long walk to freedom.