Dar Brew (Chibuku) yapunguza wafanyakazi 60

General Mangi

JF-Expert Member
Dec 21, 2013
15,300
23,022
Kampuni ya bia za asili Dar brew maarufu kama Chibuku iliyo chini ya TBL na Jiji, imepunguza wafanyakazi 60 kutokana na mauzo ya bia hiyo kupungua.

Hali ya kibiashara kwa miaka miwili mfululizo imekuwa mbaya ktk kampuni hiyo na hivyo kulazimika kupunguza idadi hiyo kubwa ya wafanya kazi jana tarehe 6 june 2018.

Kumbuka Dar brew ni moja ya kampuni kubwa zinazo ongoza kwa ulipaji wa kodi.

Zubaa uliwe: Chibuku inalipa kodi kubwa zaidi ya dhahabu na makampuni ya simu - tz yetu noma
 
Ukiona hivyo ujue uchumi wa watu wa Dar es salaam umeongezeka,sasa hivi wanakunywa bia kweli sio zile pombe inawekwa kwenye kopo kama jagi
 
Back
Top Bottom