Serikali inatarajia kujenga daraja jipya katika Mto Wami litakalokuwa na urefu wa mita 513.5 na upana wa mita 11.85 na litajengwa mita 670 mashariki kutoka lilipo daraja la sasa. Daraja hilo litaunganisha Barabara ya Chalinze - Segera na ujenzi huo utagharamiwa na serikali 100%.
#KaziItutambulishe #HapaKaziTu #JPMTena2020
#KaziItutambulishe #HapaKaziTu #JPMTena2020