Mzimu wa Kikombe cha Babu wa Loliondo waibukia Dar: Wananchi wafurika kupokea dawa eneo la Feri kwa buku 3 pekee.

Daimler

JF-Expert Member
Sep 11, 2018
556
973
IMG_8266.JPG

IMG_8263.JPG

IMG_8264.JPG
 
Kwa wenye kumbukumbu kikombe za Mzee Ambilikile Mwasapile wa Loliondo (Samunge) kilipewa airtime kubwa hata kufunika mijadala muhimu ya kitaifa kwa wakati ule (refer sakata la Dowans) naona kaibuka mwingine kwenye nyakati zingine, kweli Tz matukio hayaishi (full of wonders but not miracles).
 
Wajinga tushawashtukia
 
Anatibu nn hasa na iweje watu wamiminike kwa wingi hivi ina maana nchi imejaa wagonjwa kiasi hiki?
Walivyo wajinga wanamtangaza huku wamesahau wanahubiri kua huduma za afya vimerekebishwa kwa kiwango kikubwa.
Rejea meli ya matibabu kisha uliza swali huduma za afya zilizoboreshwa ni zipi kama hujaishia matusi kutaka kampuni ya jingaloa.
 
Tatizo vyombo vya habari NDIO WANAMPA SHAVU, matokeo yake habari zinasambaa mpaka hukoooo.
Ama kweli wajinga ndio waliowao. HIyo buku 3 wangenipa mie nikapata balimi ndogo mbili wikiendi hii.
 
Back
Top Bottom