Fall Army Worm
JF-Expert Member
- Jan 8, 2015
- 19,370
- 14,517
Wakuu Shalom..!!!!, Kiukweli Mimi Binafsi siwezi kumpeleka Mwanangu /Wanangu Shule za Boarding kutokana na Sababu zifuatazo.
1.Mtoto anayekulia Boarding tangu miaka minne au chini ya hapo ni Vigumu sana kuonja Upendo wa Wazazi.Watoto waliokulia boarding huamini kuwa Matron /Patron ndo kila kitu, hivyo hao hukaa Zaidi kwenye Vichwa vyao Kuliko Mzazi unayewalipia Karo.
2.Mtoto akikulia boarding, ni ngumu sana kubaini Vitabia Vibaya vibaya anavyoiga kwa Watoto wenzake. Vitabia hivyo huweza kuota sugu ukubwani.
3.Mtoto akikulia boarding, ni Vigumu sana kumulea ktk Maadili ya IMANI ya Dini ambayo Mimi Mzazi ninaiamini na kuiishi.
4.Mtoto akikulia boarding, ni Vigumu sana kumlea ktk Mila na Desturi njema zinazolenga kumfanya Raia mwema wa baadaye.
USHAURI WANGU. Tusomeshe watoto wetu katika Shule bora Lakini akiwa mdogo sana ni Bora akasoma International ambayo ni ya Kutwa, ili wewe Mzazi upate muda wa kuongea nae na kujua maendeleo yake Kitaaluma na Kimaadili pia, Akifikia Umri wa kujitambua ndipo sasa apelekwe Boarding school.Aidha ktk hatua zote hizo hakikisha kwamba Unamjengea Mtoto mazingira ya kujua kuwa wewe Mzazi ndiye unayemlipia Gharama zote za Masomo, vinginevyo atakapokuwa Mkubwa hatakuthamini kabisa,Unaambiwa hata Ulaya na Sehemu nyingine ambako Wazee wanatunzwa na Serikali kwenye Makambi sababu ni hiyo, Watoto wao waliowasomesha boarding hawawathamini kabisa, huko China Watoto wanawaua Wazazi wao kwasababu Wamezeeka mno.Hivyo Endelea kupeleka Watoto boarding, huku ukilipa Mamilioni lkn Mtoto wako Hana uhakika km kweli wewe ndio Mzazi wake kweli na hana Uhakika km kweli wewe ndiye unayemlipia Karo. KAZI KWENU.