Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Habari za muda huu wapendwa, Niende moja kwa moja kwa wapenzi wa kwenda sehemu za ufukweni kwa ajili ya kupumzika na hata kuoga hasa za jijini dar es salaam Kumekuwa na vijana wengi ambao...
21 Reactions
57 Replies
10K Views
Amani ya Bwana iwe nanyi, Nimepokea email siku mbili tatu hizi ikiwa na password yangu moja niliyokuwa naitumia kipindi cha nyuma na ambayo nadhani kuna sehemu bado naitumia. Inaniambia kwamba...
2 Reactions
46 Replies
6K Views
Mkazi wa Chanika Dar es Salaam aliyetambukuka kwa jina la Donatus Isaya, amejinyonga hadi kufa baada ya kuwauwa watoto wake wawili na kumjeruhi mama wa watoto hao aitwaye Mariam Lucas ambaye ni...
1 Reactions
22 Replies
4K Views
Habari za muda waadau.leo nakupasha jambo dogo tu. Zanzibar ni muunganiko wa visiwa viwili ambavyo vipo kando kando ambavyo ni Unguja na Pemba. Hivi visiwa vipo kando kando kabisa kwa maana...
4 Reactions
37 Replies
7K Views
Kwa muda mrefu nimekuwa napata tatizo katika jengo linalopakana na kituo cha mabasi cha Makumbusho. Sijafanya uchunguzi wa kina ila ngazi za pembeni ya supermarket zina walakini. Ukiwa unazipanda...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Mmiliki wa Mall 'Taj Mall' Ramesh Gorasia amezungumza na waandishi wa habari juu ya kubomolewa kwa jengo lake. Gorasia amesema wote waliodhibitisha kibali cha kuruhusiwa kujenga jengo hilo ni...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Natumai watendaji na wadau wanaohusika na masuala ya mkopo kwa wanafunzi elimu ya huu mnapitia humu JF Nilikuwa naomba bodi ya mkopo kwa wanafunzi elimu ya juu waje na mfumo ambao utamuwezesha...
0 Reactions
1 Replies
978 Views
Wakati ulimwengu ukibuni njia ya kuweza kubuni mavazi ambayo yatazuia risasi kutokupenya kiurahisi kwenye mwili wa binadamu, hii ni tofauti kwa Mchungaji wa Kanisa la Grace and Power Prophetic...
4 Reactions
155 Replies
26K Views
Hizi ni Facts Binadamu tunaishi kimazoea, hatutafakari, kuusu kesho yetu! Binadamu tunaishi pasipo kujua lini mwisho wetu utafikia kikomo. Binadamu, hutaja tafakari kuwa yupo aliye mkuu kuliko...
5 Reactions
12 Replies
1K Views
Tunatakiwa kudai hela zetu kwa ZUKU, DSTV etc. Kwavile walitutoza fedha channel za ndani. Wanataka sisi ndio tupige hesabu. Siwaelewi.. Anawaelewa hawa TCRA ambao naweza kusema ni kama hawajui...
2 Reactions
28 Replies
3K Views
Habari wakuu, kuna katabia fulani kapo miongoni mwetu.. au baadhi yetu tunakutana na hichi kitabia mtu hakutafuti.... masiku/wiki/miezi... hakuna salamu hakuna kujuliana hali.. ikikalibia...
7 Reactions
37 Replies
3K Views
Naomba anayejua anijuze. Bado inaendelea na ruti za ndani au?
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Sheria ya utoaji takwimu imepitishwa majuzi na Bunge la Jamhuri ya muungano na kutoa tahadhari kubwa kwa watu binafsi na taasisi za binafsi na umma kuhusu kutoa takwimu bila kupata kibali cha NBS...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Inahusu kituo cha mabasi au daladala kilichopo mtaa wa Azikiwe, Posta Mpya. Nawaomba wahusika hasa Wizara ya Mambo ya Ndani kukiangalia au kukitazama hiki kituo kwa jicho la ziada. Kituo kiko...
5 Reactions
16 Replies
4K Views
Marekani ilizipatia nchi za Afrika vifaa feki kupimia ukimwi Mashirika mawili ya serikali ya Marekani yamekiri kuwa yalizipatia nchi kadhaa za Afrika vifaa vya kupimia Ukimwi (Test Kits) ambazo...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Hbr za jpili wanajf ninaomba kujua ni hatua gani inabidi zifuatwe pale unaponunua gari kutoka kwa mtu ili liweze kua katika miliki yako hapa nataka nijue vitu vifuatavyo 1 ili akumilikishe gari...
2 Reactions
15 Replies
5K Views
Leo chaguzi za marudio. Napenda kuwatakia heri chama changu CCM. Hii ndo demokrasia, kushinda au kushindwa ni uamuzi wa wananchi. Good luck CCM.
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Kuna tetesi kuwa idadi ya wawekezaji wapya kupitia kituo cha Uwekezaji, TIC imepungua sana ndani ya miaka miwili iliyopita. Waekezaji wengi, inaelezwa, wanachungulia hali na kuahidi kurudi...
6 Reactions
62 Replies
7K Views
Back
Top Bottom