Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Ni kweli uchumi huria unakataza serikali kuingilia kati masuala ya bei za bidhaa, ili nguvu za soko, yaani demand and supply, ziwe kigezo cha bei. Lakini sasa, suala la nguvu ya soko linafanya...
1 Reactions
6 Replies
167 Views
Anonymous
Hospital ya KAMANGA Nyegezi Mwanza kitengo cha Upasuaji kunafuka rushwa ya matibabu hasa kwa wagonjwa wa BIMA, Baada ya mke wangu kusumbuliwa na tatizo la tumbo la muda mrefu, hospitali ya KAMANGA...
0 Reactions
2 Replies
182 Views
Mm nasema hamna kama kuna mwenye aya au ushahidi wowote aje nao nimpe 300,000 usiku huu Muhammad (60) kwa Aisha ilikua sahihi Na Joseph (63) kwa bikira Maria ni sawa Hiyo 18 ni mbwembwe za...
3 Reactions
90 Replies
790 Views
Hili ni jambo ambalo hatimae nimetambua ndilo tatizo kubwa linaloikabili Tanzania. Ni kwamba maamuzi mengi kuhusu Tanzania yanafanywa na viongozi wenye IQ (akili ya kufanya maamuzi sahihi) ndogo...
3 Reactions
13 Replies
318 Views
Post hii haihusu DSM, inahusu majiji mengine na manispaa za mikoani, Ukiishi Dar lazima tu ujifunze ku-adapt maisha ya mjini, hata ukijenga kilometa 40 nje utajikuta kwenye miji mikubwa kama...
11 Reactions
20 Replies
499 Views
Nikiwa pamoja na wenzangu zaidi ya 70, tulikuwa tukifanya kazi katika Shirika la Viwango Tanzania (TBS) kwa takribani miaka mitano. Tulielezwa ajira zetu zingekuwa za mikataba ya muda mfupi ya...
3 Reactions
5 Replies
481 Views
Ukinunua tu eneo,kiwanja weka fansi ya ukuta maana zaman watu walikua wanapanda miti,migomba lakini mwishowe baada ya vizaz viwili tu miti,migomba yaweza taifishwa au watu hukata kusema...
5 Reactions
3 Replies
130 Views
Mkikumbuka miaka miwili iliyopita humu humu JF niliiombea sana PSG kwasababu ya boss wake mqatari Nasser al Khelaifi kwasababu jamaa alijitolea sana hali na mali PSG siku moja inyakue UCL na...
3 Reactions
4 Replies
109 Views
Ukiona mwanamke ameweka picha ya mwanaume mashuhuri Kama mbappe, Fei toto nawengine wengi basi hao ndo anamapenzi nao na anawapenda.. Kwanini Yuko na wewe? Kwasababu Hana uwezo wa kukutana nao...
5 Reactions
63 Replies
784 Views
Katika kuadhimisha Siku ya Shinikizo la Juu la Damu Duniani, Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) imesema kuwa zaidi ya nusu ya watu wanaowahudumia kwa siku wanakabiliwa na tatizo la shinikizo la...
1 Reactions
9 Replies
208 Views
Wakuu ni wazi kwa tulipofikia sasa hatuna imani na polisi juu ya kumkamata mtu kama hawajathibitisha wenyewe, kwa hali iliyopo sasa ni kama tuna majeshi mawili ya Polisi, moja ni lile linalokamata...
0 Reactions
3 Replies
412 Views
Anonymous
Mimi ni mkazi wa Njiro, Arusha. Siku ya Ijumaa tarehe 8 Mei 2026, nilifika katika Ofisi za NIDA Kisongo kwa lengo la kuchukua vitambulisho vya jamaa zangu ambao kwa sasa wako nje ya mkoa wa...
17 Reactions
148 Replies
2K Views
Waswahili wana msemo wao wa kujifariji "Fainali uzeeni" Sasa unajiuliza kuna faida gani uteseke utotoni na ujanani, Halafu mwishoni kabisa uzeeni ndio uanze kufurahia maisha kwa muda mchache...
11 Reactions
32 Replies
538 Views
Dar es salaam ndio mkoa wenye watumishi wa umma wengi zaidi kuliko mikoa mingined kisha Dodoma ikifuatiwa. Watumishi wa umma wanaoomba kuhama karibu 98% au zaidi huomba kuhamia aidha kwenye jiji...
3 Reactions
19 Replies
972 Views
DAR ES SALAAM – Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Temeke, Jomaary Satura ametoa ufafanuzi wa kina kuhusiana na mkanganyiko wa malipo ya fedha yaliyofanyika kwa baadhi ya watumishi wa...
7 Reactions
19 Replies
663 Views
Haya mambo ingawaje ni maswala binafsi ila yanaumiza pale kijana wako au binti yako anapokosa mwenza yaani unajiona kama una mkosi flan ivi tena ukikosa mjukuu ndio mbaya zaidi (heli ya watawa wao...
7 Reactions
17 Replies
303 Views
Back
Top Bottom