Ndugu wana diaspora,
Naona inakuwa ngumu sana sisi tulioshi nje ya Tanzania kwa miaka mingi kurudi na kuanza new life. Mnafanyaje mbona wengine tumeshindwa?
Nina rafiki zangu watatu walirudi...
Je, tukiangalia depreciation ya shillingi tangu mwaka 2006 uwanja ulipojengwa, kuna uwiano na uhalisia au tumepigwa?
Maana kwa kuangalia kwa haraka haraka zinatoka flyover kama 5 hivi kwenye huo...
Zanzibar. Polisi katika Mkoa wa Mjini Magharibi wanamshikilia Muhammed Juma Muhammed kwa tuhuma za kumtia mimba binti yake wa kambo mwenye umri wa chini ya miaka 18.
Hata hivyo, kamanda wa Polisi...
Aliyekuwa M/Kiti na Muasisi wa CHADEMA Wilayani Lushoto Ndugu Zuberi Dhahabu amefariki dunia jana majira ya saa saba mchana. Ndugu Dhahabu aliugua muda kwa mrefu tangu mwaka 2010 baada ya kupata...
Habari wakuu,
Madereva wanaofanya biashara ya Uber(Madereva wa Mtandaoni) jijini Dar Es Salaam, Wamekutana katika Viwanja vya Leaders Club kuongelea matatizo yao.
Kikubwa wanacholalamikia ni...
Mimi ni mmoja wa watu waonyolea nywele saloon za kiume ila nakerwa na yafuatayo kwenye saloon hizo
1. Kuulizwa kila siku ninayoenda kunyoa kama nataka scrub. Ingekuwa ni mara ya kwanza au ya pili...
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Profesa James Mdoe ameongoza ujumbe wa Tanzania kwenye mkutano Mkuu wa 62 wa kimataifa wa kuendeleza matumizi salama ya nguvu za nyuklia...
Binafsi nilichukua mkopo kwa miaka miwili tu ya mwanzo kati minne niliyofanikiwa kuisoma pale UDsm na kuhitimu mwaka 2012.
Sikuwahi kuangaika na Ajira , nilijikita kwnye biashara za familia hadi...
Nakumbuka kabla Brown hajawa Prime Minister na Kiongozi wa Labour Party..Labour were almost going to a defeat. Waingereza walishapoteza muelekeo na Opinion polls almost zote zilikuwa zinaonyesha...
Eng I Kamwelwe akisaidia kufunga bolt na nuts za kudhibiti reli ya chuma.
Lakini ameniangusha.
Na mimi ni mkandarasi mdogo.
Wallahi angekuwa mfanyakazi wangu kafanya hivyo ningemtimua kazi...
Shikamooni wakubwa zangu wote wa humu jukwaani kwetu JF.
Jana mida ya jioni alikuja classmate wangu wa secondary mdada Beautiful Nkosazana akitaka nimsaidie kufanya booking ya ndege kwa maana...
tunafahamu kua shoga ni jina analoitwa mwanaume mwenye tabia za kike au kuingiliwa kinyume na maumbile, vipi kwa mwanamke anaye ingiliwa kinyume na maumbile tunaweza kumwita shoga pia? ushoga ni...
Kwanza ni magari ya majeshi haya hayafuati taratibu kabisaaa njia ya kwenda yanarudi yenyewe kila mda eana haraka kama wanaharaka si wangeanza safari mapema zaidi wanaboa maana huwa wanalela folen...
Jana nimemuona Dr. Mwigulu Nchemba. Kachoka sana na maisha. Inaonesha kuondolewa Uwaziri kumempelekesha sana japo bado ana Ubunge wake !
Amepotea kwenye ulingo wa siasa haraka sana tofauti na...
Benki Kuu ya Tanzania imewataka wananchi kuheshimu fedha ya Tanzania kwani ni moja ya alama ya taifa.
Kauli hiyo imekuja kufuatia matukio ya hivi karibuni ya baadhi ya wananchi kutoziheshimu...
Hodi wana JF! Hivi karibuni kulikuwa na thread kuhusu Forever Living. Wachangiaji wengi waliponda sana hii kitu.
Lkn nimeambiwa kuwa jana jioni baada tamasha pale Jamhuri Stadium Dodoma, JK...
Hapa hautasikia matamko ya polisi wala BOT sababu huyu ni kijana wa WCB vijana wapendwa chiniya mlezi wao untouchable RC
Wale wa clouds fm ni kwamba waliingia 18 rasmi za bwana DAB na watakiona...
Kwasababu za Kimaadili na Kulinda Usalama na Uhai wake sitoweza kumtaja ila leo niliamua tu Kujikita kutaka kujua zaidi Katiba ya Nchi inasemaje hasa juu ya Majukumu ya Askari wa Jeshi la Polisi...
Wahudumu wa afya ( manesi) huwa ni wakali sana, kuanzia sura zao mpaka vitendo vyao kwa wagonjwa na familia zao .
Manesi wa kike huwa hawapendi sana kuishi under control ya mtu ( hasa mwanaume )...