Huduma ya kwanza nikuokoa walio hai,Kisha maiti,nilitaraji kivuko kabla ya kuzama wangefanya maarifa kukiopoa pia.Mimi nadhani ni kidogo,mji wa Mwanza na migodi jirani ingeweza kutoa crain...
Basi nikamshtua kidogo kwa kugonga kidogo bati la gari lake kwamba "oyaa washa taa utagonga watu " infact mi sikumuona almanusura anigonge...wakati namstua alikuwa kafunga vioo vya gari yake Salon...
Wakubwa babar zenu
Short story..
Baada ya kumaliza chuo nikiwa na shilling million 2 nikajarubu kufanya biashara nikazulumiwa pesa yote.. Girlfriend wangu akanifarij nikasahau yote nikasonga...
Habari za mida hii wanajukwaa..
Kwanza kabisa naombeni radhi kwa yeyote ambae atakwazika kwa namna yeyote na uzi huu, kwani itakua ni mapungufu ya kibinaadam, pia naomba support yote kwenu...
Kwanza nitoe pole kwa watanzania wenzetu waliopoteza ndugu zao katika ajali ya MV Nyerere
Na niwaombee majeruhi wote wapone haraka waweze kuendelea na uzalishaji Mali
Sasa kama mada inavyosema...
Kama mimea,wanyama,wadudu hufa na kupotea hata sisi binadamu ni hivyo hivyo usiumize kichwa kuwaza maisha baada ya kifo,ukishakufa ndo umekufa hakuna cha peponi,wala motoni,wala kufufuka tena kama...
Mengi yamezungumwa ila ukweli ndio huu, kwamba serikali yenye wajibu wa kuleta unafuu wa maisha kwa kutoa huduma bora ndiyo inapaswa kubeba huu mzigo.
Mwananchi yuko mji wa 3 kutoka mji anaoishi...
Nimefika india kwa safari ya matibabu. Mimi si nheshimiwa hivyo sikuhitaji kibali cha Kazi Ndugu Hai kufika hapa. Package tuliyopata ni accommodation na self catering. Tumekuta flat safi yenye...
Hivi maisha yana maana gani? Au kuna faida gani katika kuishi?
Ukijaribu kufikiri kiupana nini maana ya maisha nashindwa kupata majibu sahihi
Mwanadamu tangu kuzaliwa kwake anakutana na...
Kwanza natoa pole kwa familia na sisi watanzania wote tulioguswa na ajali ya MV Nyerere huko ziwa victoria!
Ila kwa leo dukuduku langu ni kwa hawa Tigo, japo nasikia voda nao wanakata kama hawa...
Hv jamani kwa wale wahenga ni kweli nyerere hakuwahi.kupata majanga ya kupinduka kwa meli,vivuko kama marais wengine wote??yani kwamba nyerere pekee pamoja na kuongoza mda mlefu lakini hakupata...
Habar wana jamvi?
Kwa mara ya kwanza leo nmefika Nyehunge kukata tiketi ya kwenda UKEREWE masaa matatu kbla ya safari naambiwa MERI IMEJAA!.
""MERI IMEJAA TAYARI TUNAOMBA MJE KESHO MCHANA!""...
UKISTAAJABU YA MBOWE UTAYAONA YA ZITO;
Binafsi nianze kwa kutoa pole nyingi kwa Rais wa nchi yetu Dr.John Pombe Magufuli kwa niaba ya watanzania wote kutokana na msiba mzito uliolikumba taifa...
Heshima kwenu wakuu,
Kwenye ndege yetu naamini kuna vifaa vya kujiokolea.
Askari wa miamvuli huwa wanatumia sana kuruka kutoka kwenye ndege pindi ipatapo tatizo.
Naomba kuelekezwa Miamvuli...
Kuna mwananchi amevamiwa na vibaka ameporwa mkoba wake ndani yake mna laini zake za simu na vitambulisho vyake amenda kurudisha imeshindikana kwa kuwa hana kitambulisho.
Sheria ya TCRA ili...
Hello JF
Naomba leo tujadiliane hili...
Kwanza poleni waTanzania kwa msiba huu mzito
swala la kuacha kuwaokoa watu kisa 'giza' limewaumiza wengi….
ila tusilaumu sana,ndio uwezo wao...
Pamoja na masikitiko ya kupoteza wapendwa wetu ilikuwa jambo la busara kuhakikisha kuwa wahusika wa moja kwa moja wa kuhusiana na ajali hii ya MV Nyerere ndiyo pekee wanawajibishwa.
Kumwajibisha...
Wadau follow the link
Matokeo ya usaili wa mchujo uliofanyika tarehe 21 & 22 Sept, 2018
Naona wengi tumepata experience ya interview YA interview yaani watu 600 wanaitwa 10.