Huu ni ubunifu wa hali ya juu wa waziri wetu wa mambo ya ndani ambaye amejiongeza zaidi ya majukumu yake ya kawaida ili kuchagiza kaulimbiu ya Tanzania ya Viwanda.
Bila kupoteza muda wa...
Habar wakuu..
Naomba wenye uelewa na haya mambo wanijuze. Ni zaidi ya maramoja imenitokea hii hali.
Mara ya mwisho ambayo ni jana ilikuwa hivi.!
Nilishtuka kutoka usingizini mida ninayo amka...
Nimeamini msemo unaosema ''Starehe ya masikini ni kuzaa''.
Jamaa mmoja Arusha ana ngekewa ya kuzaa mapacha wawili/watatu kwa kila uzao. Jambo la kusikitisha ni kwamba ana maisha ya kawaida sana...
Sakata la watuhumiwa kufia mikononi mwa polisi sasa limehamia kwa Waziri wa Mambo ya Ndani, Kangi Lugola baada ya familia moja mjini hapa kukataa kuchukua maiti ya ndugu yao ambaye wanadai alifia...
Habarin wakuu polen kwa shughuli za ujenzi wa taifa kila jua linapozama na kuchomoza....Huu ni mtazamo wangu juu ya swala zima la mapenzi Huwa naamini kuwa Mapenzi ni pesa nimekutana na watu wengi...
Kama unaroute ya kwenda Mbagala,Temeke,G.mboto na sehemu yoyote inayokulazimu kupita barabara ya MANDELA ahirisha kwanza au tafuta njia nyingine, foleni ipo hapa Ubungo Riverside,leo Rais Magufuli...
Kiwanda cha saruji cha Dangote kilichopo mkoani Mtwara kimeanza rasmi kutumia umeme unaotokana na gesi asilia inayopatikana mkoani humo badala ya mafuta ya dizeli na makaa ya mawe.
Mnamo mwezi...
Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA) kuanzia Oktoba Mosi itaanza kutoza tozo ya ulinzi TZS 11,425 ($5) kwa wasafiri wa nje, na 4,570 ($2) kwa wasafiri wa ndani ili kuimarisha ulinzi na...
Kuna watu wanajiita wapiga debe kwenye vituo vya mabasi.
1: Watu hawa wamekuwa kero sana kwa wasafiri, kwani wamekuwa wakikubaliana bei na wasafiri, na baada ya msafiri kuingia kwenye gari, wao...
Ninawakati mgumu ninapohitaji kununua LUKU, nilizoea kwenda kwa wakala natoa hela napata units zangu bila shida, Jumanne nilienda kwa wakala na pesa kama kawaida yangu cha ajabu nilitakiwa nimpe...
Kila eneo ambalo ni la kupaki magari na imefika mpaka nje ya nyumba zetu utaona kijana amevaa reflected coat na kimashine.
Wenzetu Afrika hii hii unalipa parking imejengwa kwa lami na...
Ndugu wananchi wa Kenya na Tanzania,kwa takribani wiki mbili sasa,kumekuwepo na UPOTOSHAJI (usiojulikana malengo yake) kwenye vyombo vya habari na mitandao ya kijamii kuhusu kuibuka kwa "VITA YA...
Mkuu wa wilaya kigamboni Sara msafili,Leo tarehe 26 September kafanya ziara ya kushitukiza na kubaini kivuko cha MV magogoni baadhi ya maboya hayachomoki, pia kashauri kuwekwe namba ya dharula kwa...
Wakuu wa JF poleni na majukumu ya kila kukicha katika kuhakikisha taifa hili linasonga mbele hususani katika masuala ya uwazi na uwajibikaji.
Leo ninaleta taarifa mpya kabisa kutoka mamlaka ya...
Ndugu zangu wanachuo leo vodacom wamepandisha gharama za vifurushi kwa wanachuo,
hapo nyuma 1. sh 500 ilikua ni mb 500 Dk 50(voda to voda) na sms 500 ila leo hicho kifurushi ni 1000,
hakuna...
Habarini za jioni?? Nimekuja kwenu kuwasilisha ujumbe huu umfikie Melard Ayo na wenzie walioamua kuchezea tasnia ya takwimu na tafiti kwa kujificha nyuma ya '' wataalam wa mambo''
Eti"Wataalam wa...