simplemind
JF-Expert Member
- Apr 10, 2009
- 16,799
- 9,736
JelaKwahiyo sisi wamiliki wa boda boda tunakula wapi?
Fomu zipi?Nije niwaone kwenye misururu ya kuchukua fomu
Halafuu: Mbona kuna sheria ya sumatra inaruhusu pikipiki za magurudumu mawili na matatu, au imeacha kuvuka mipaka!?
Paradoxical is it?Very interesting, kwahiyo wapiga kura waliwachagua wawakilishi kwenda kutunga sheria ya kuwazuia wanaopiga kura kufanya kazi inayowafanyanya waishi ili waweze kupiga kura.