Wonders shall never cease!

Wonders shall never cease!

corymbosa

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2018
Posts
265
Reaction score
143
Waliofariki wasimulia [emoji13]
IMG_20180927_180350.jpg
 
He he he he
Magazeti haya taabu tupu.

Hapo ukute kuna ofisi ya mhariri kuubwa na kiyoyozi full-time.
 
He he he he
Magazeti haya taabu tupu.

Hapo ukute kuna ofisi ya mhariri kuubwa na kiyoyozi full-time.
Ofisi na kiyoyozi vipo, mhariri na waandishi makini hakuna! Haya ndio mazoea ya kuandika habari za udaku zisizo na ukweli wala zisizohitaji kuthibitishwa, sasa wanarukia habari inayohitaji uhalisi, mambo ndio haya!
 
Jaman... yawezekana mwandishi alienda kuchukua habari kwa marehemu. Kwan hamtambui kuna maisha baada ya kifo [emoji848][emoji848]
 
Nimesoma uchunguzi uliofanywa na BBCAfrica kuhusu mauaji yaliyofanywa na wanajeshi nchini cameroon..mwanzo ilikua ni video tu ambayo cameroon walikana kwamba sio nchini kwao..bbc wamefanya uchunguzi hadi majina ya wale wauaji yamejulikana na exactly location imefahamika..

Nikiangalia na waandishi wetu hadi machozi yanatoka
 
Habari inaanzia hapo juu "saa tisa usiku kitandani kwangu" so ukisoma kwa muktadha huo unaweza kusema labda ni ndoto ambayo mwandishi alikua anaota akiwa anahoji hao waliofariki au kwa namna nyingine ambayo ni tofauti na uhalisia wa kawaida lakini katika njozi
 
aseee nafuu hiyo walisema wengine
ety waliwasiliana na fundi MKUU kwa njia ya karatasi na Wakawa wanampa chai chin ya maji
 
Inadhihirisha tusione ajabu waandishi kuwasiliana na wafu kumbe mambo mengi yanawezekana hata pasipo wezekana.
yaani Hawa waandishi Wetu sijui wanajifunziaga wapi?
hivi nao hawanaga bodi kama sie ma injinia au wahasibu na madaktari?
japo hata siye kweny bodi zetu zina uozo lakini angalau tofaut na hawa
 
Back
Top Bottom