Ubuntu trusty tahr
JF-Expert Member
- Sep 5, 2016
- 326
- 228
Habarin wakuu polen kwa shughuli za ujenzi wa taifa kila jua linapozama na kuchomoza....Huu ni mtazamo wangu juu ya swala zima la mapenzi Huwa naamini kuwa Mapenzi ni pesa nimekutana na watu wengi sana waliowahi kuyumba na kuvunjika kwa mahusiano yao sababu kubwa ikiwa ni kutokuwa na pesa hivyo basi nawasihi vijana wanaoamini kuwa mapenzi sio pesa waache haraka iwezekanavyo kwani mapenzi bila pesa ni mateso na taabu..
Ukiwa na pesa kwenye mapenzi utaenjoy sana
Ukiwa na pesa utaweza kummiliki mwanamke yeyote umtakaye na kwa wakati wowote
Ukiwa na pesa hata stress utakuwa nazo kwa kiwango kidogo sana
Ufundi na ujuzi kitandani hauna mvuto kama huna pesa
Vijana na wazee wenzangu Tuongeze juhudi kutafuta pesa kwani pesa hufanya jambo lolote kwa wakati wowote Yaani PESA HAIJAWAHI KUSHINDWA .