Jina la Mfugale flyover lirekebishwe

Congo

JF-Expert Member
Mar 13, 2008
1,652
2,000
Napendekeza jina la Mfugale Flyover lirekebishwe kuwa Patrick Mfugale Flyover. Sababu ni moja tu kuwa Mfugale wako wengi. Hivyo kutoa nafasi kwa Mfugale asiyehusika kunufaika na jina hilo. Mifano ni mingi kuhusu majina kuwa kamili au kuanza na herufi za kwanza.
P.A.N. MFUGALE FLYOVER
 
Auz

JF-Expert Member
Apr 6, 2016
8,322
2,000
Hiyo inaonesha jinsi gani hatuko makini katika lolote!
Napendekeza jina la Mfugale Flyover lirekebishwe kuwa Patrick Mfugale Flyover. Sababu ni moja tu kuwa Mfugale wako wengi. Hivyo kutoa nafasi kwa Mfugale asiyehusika kunufaika na jina hilo. Mifano ni mingi kuhusu majina kuwa kamili au kuanza na herufi za kwanza.
 
macho_mdiliko

JF-Expert Member
Mar 10, 2008
12,551
2,000
Watanzania hatukosi lakusema aisee
Ana hoja nzuri sana. Hii italeta udadisi zaidi kwa watu eg wageni, wasiojua maana ya hilo jina. Likiandikwa kwa kirefu kama ilivyopendekezwa hata mgeni atakuwa na nafasi nzuri ya kujua ni jina la mtu na atadadisi zaidi ilikuwaje mpaka apewe heshima kama hiyo. Otherwise yoyote alipendekeza hili jina amefanya jambo la maana sana kwani mara nyingi sisi watanzania huwa tunaita watu waadilifu kuwa ni ''wajinga'' au siyo wajanja. Sehemu maaraufu zimekuwa zikibeba majina ya wanasiasa ambao wengine siyo waadilifu kabisa.
 
vous143

JF-Expert Member
Jul 23, 2018
431
500
Napendekeza jina la Mfugale Flyover lirekebishwe kuwa Patrick Mfugale Flyover. Sababu ni moja tu kuwa Mfugale wako wengi. Hivyo kutoa nafasi kwa Mfugale asiyehusika kunufaika na jina hilo. Mifano ni mingi kuhusu majina kuwa kamili au kuanza na herufi za kwanza.
Heeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!
Hadi kwny jina nako
 
ARV

JF-Expert Member
Sep 6, 2011
2,998
2,000
Napendekeza jina la Mfugale Flyover lirekebishwe kuwa Patrick Mfugale Flyover. Sababu ni moja tu kuwa Mfugale wako wengi. Hivyo kutoa nafasi kwa Mfugale asiyehusika kunufaika na jina hilo. Mifano ni mingi kuhusu majina kuwa kamili au kuanza na herufi za kwanza.
Wewe sio mtu wa mjini (Dar es salaam) kile kibao kiliwekwa siku ya kwanza kabisa mwanzo wa daraja kushoto ukitokea airport kinasomeka "Eng. Patrick Mfugale Flyover' watu wana akili zaidi yako.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom