Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

' OMBA HUDUMA YOYOTE NITAKUPA '. Jamani wengine tunapokuja hayo maeneo huwa hatuji tu kupata mnavyotoa hapo ambavyo ni vya Kula au Vimiminika na tambueni ya kwamba kuna wengine hatunywi Pombe...
3 Reactions
32 Replies
7K Views
Binafsi siamini kabisa kwamba alikuwa peke yake, hivyo siku zijazo tutegemee mengi sana kutoka kwa watu mbalimbali wengine hata ambao hatuwategemei, watu wataibuka na mambo mbali kwani ikumbukwe...
3 Reactions
47 Replies
10K Views
Hata kama mnasema ni mimba kunichukia sizani nahisi ni makusudi naanza amini kumbe wanaume wote wanaokimbia wanawake wenye mimba sio makosa yao. Na hivi nahisi uyu mwanamke ananifanyia kusudi...
3 Reactions
21 Replies
3K Views
Yaani nikisikia kitu chochote chenye asili ya bati au chupa zikisuguliwa kuna hali fulani hivi ya meno kuuma/kupatwa na ukakasi hadi nakosa raha hivi hii hali husababishwa na nini
6 Reactions
41 Replies
6K Views
Mji wa karatu msafi sana na sababu kuu hakuna matumizi ya mifuko ya plastic ile meusi iliyo zagaa katika majiji yetu. Tusisubiri tamko la waziri wa mazingira kupiga marufuku tunaweza anza katika...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Tumieni tekinolojia na mtandao wenu kuwabaini. Binafsi kwa ukata huu siwezi tapeliwa,ila inaweza tokea coincidence mtu anafanya muhamala akaibiwa.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Katika maisha yako.. ukinusa tu dalili za ushenzi wa mtu au kutofautiana lugha na mtu anza kuweka mipaka naye usisubili mpaka mgombane ndo uanze kusema kitambo naku mind bro.. hizo kauli...
3 Reactions
18 Replies
3K Views
Habari ziwafikie popote mlipo........ Sisi ni wanachuo watoto wa maskini kutoka Tanzania ambao tulitokea kuupenda mtandao wa Vodacom na kuona ni mahali sahihi kwa kutokana na matumiz yetu mbali...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Ni ijumaa mida ya saa 7 usiku, tangu nitoke ofisini, unajua tena mwisho wa juma nilikua na ratiba ya kuonana na rafiki yangu wa muda pale mchikichini,tukawa katika kibaa kimoja cha watu wa hali...
2 Reactions
5 Replies
2K Views
Naomba kuuliza wapi wanauza vitambaa vya kushonea kofia za kike ambazo wanawake wengi wa dar es salam,wanazivaa pia wapi capeti za kutengenezea mikoba zinapatikana naombaeni msaada wenu aina ya...
1 Reactions
0 Replies
658 Views
Man U Mnatia huruma sana kwa sasa kwa asilimia 75% Mchezo wa leo Pia Mmepoteza,Chagueni Mmoja Kati ya Pogba au Mourinyoo.
0 Reactions
2 Replies
764 Views
Mawakili waliweka application ya kureject the money laundering charge..so mawakili wasomi wameweka nondo zao..hakimu atayafanyia kazi yote yaliyosemwa na kutoa maamuzi tar 22..so wataendelea kuwa...
1 Reactions
56 Replies
11K Views
Leo tarehe 29/9/2018, kiwanda cha tumbaku morogoro (TTPL) kinaadhimisha miaka 50 (birth day), tangu kilipojengwa, kilipoanzishwa mwaka 1968 kilikuwa ni miongoni mwa viwanda vya umma "vilivyo uzwa"...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Jiji la Mwanza kuna vituo vingi vya redio nikimaanisha Local/regional radios, kama Jembe fm, Lake fm, Metro fm, Afya radio, Dira fm, Passion fm, Sauti fm, Iqrafm, Kwa Neema fm naomba nisiziweke...
4 Reactions
22 Replies
8K Views
Ni aina ya magari yanayojulikana kuwa ni ya kifahari na pia ni ghali sana! Wataalam wa magari naomba msaada wenu ni kitu gani kinayafanya kuwa ghali kwa kiasi hicho? Bei inafika mpaka Tsh 5...
6 Reactions
87 Replies
27K Views
Got one
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Leo tarehe 28/9/2018 nimeamua kujivua rasmi upinzani na kurudi CCM ili kuunga juhudi za mh rais baada ya kuridhishwa na utendaji wake wa kazi. Asanteni.
9 Reactions
44 Replies
4K Views
ANAHITAJIKA MTU MWENYE DEGREE YA BUSINESS ADMINISTRATION KWA AJILI YA KUFUNDISHA CERTIFICATE NA BAADAYE DIPLOMA HUKO NYANGUGE WILAYANI MAGU MKOANI MWANZA. CHUO KINATARAJIA KUANZA JANUARY 2019...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Tumieni tekinolojia na mtandao wenu kuwabaini. Binafsi kwa ukata huu siwezi tapeliwa,ila inaweza tokea coincidence mtu anafanya muhamala akaibiwa.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…