Yunku Zungu
Member
- Sep 28, 2018
- 8
- 6
Hata kama mnasema ni mimba kunichukia sizani nahisi ni makusudi naanza amini kumbe wanaume wote wanaokimbia wanawake wenye mimba sio makosa yao. Na hivi nahisi uyu mwanamke ananifanyia kusudi baada ya kibarua changu kuuisha ama?