Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,811
Binafsi siamini kabisa kwamba alikuwa peke yake, hivyo siku zijazo tutegemee mengi sana kutoka kwa watu mbalimbali wengine hata ambao hatuwategemei, watu wataibuka na mambo mbali kwani ikumbukwe TanZania ina matajiri wachache wakutupwa na asilimia zaidi ya 98% ya Matajiri wa TanZania ni wapiga dili ambao wanashirikiana hivyo hili la Kitilya ni domino effect kama picha invyoonyesha hapo chini, na matajiri wote wa TanZania wamekuwa Matajiri kwa kufanya dili na Serikali aidha kufanya biashara na Serikali au kuiibia Serikali na yote haya hayawezekani bila ya ushirikiano wa ktk Serikalini!
Hivyo naamini Raisi Magufuli anaongoza ktk kipindi kigumu siajabu klk vyote ktk Historia ya TanZania labda sawa na Mlm.Nyerere wkt wa Ujamaa alivyopingwa kwani hawa Mafisadi ni wachache lkn wana fedha ndefu sana na wamejipanga kupambana, na hapa kitakachotuokoa tu WatanZania ni Katiba yetu, hii ndiyo lulu yetu kwani Raisi ana uwezo mkubwa kwa kutumia Katiba yetu kuwabomoa wote hawa na kuwashinda!