Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Yaani nimeamka hapa,kuna kitu nilikuwa nina shida nacho sana na kwa wakati,lakini nimefanya call moja tu,nasubiri delivery hapa...nishasahau tabu zote za miaka ya nyuma,kuna anayekumbuka adha au...
1 Reactions
2 Replies
876 Views
VIONGOZI WALIOSHITAKIWA Luiz Inacio Lula da Silva, Brazil Lula alipatikana na hatia ya ufisadi na kutakatisha fedha baada ya kuhusishwa katika kashfa ya "Car Wash", mashitaka ya ufisadi ambayo...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Ndugu zangu naombeni kuuliza kama kuna mtu anafahamu nauli ya ndege kati ya Tanzania na uholanzi ni shillingi ngapi,yani namanisha kwenda tu sio nakurudi.Nimepewa assigment hiyo sasa cna wa...
0 Reactions
10 Replies
5K Views
Si jambo ambalo ndio ninaliona Leo, lakini ni jambo ambalo ninaaandka leo. Nikiwa mtaani asubuhi hii nimewaona wadada wawili ambao wamevaa suruali za kubana kupita kiasi. Nasema kupita kiasi kwa...
3 Reactions
41 Replies
6K Views
Jeshi la Polisi Mkoa wa Kaskazini Pemba linawashikilia baba na mama wa familia moja wakazi wa shehia ya Kiungoni wilaya ya Wete kwa tuhuma za mauaji ya mtoto wao wa kike mwenye umri wa miezi...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Bidhaa kutoka kampuni ya Apple si ngeni machoni mwetu aidha kwa kuzitumia,kuzishika au hata kwa kuzisikia. Apple ni kampuni ya Tarakilishi (Computer) iliyoanzishwa mwaka 1976 na watu watatu ambao...
16 Reactions
24 Replies
6K Views
Msitu wa Saihanba wenye ukubwa wa hekta elfu 74.7 ulioko kilomita 200 kaskazini mwa mji wa Beijing nchini China, ni msitu mkubwa zaidi duniani uliopandwa na watu. Wafanyakazi wa shamba la msitu...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Mara nyingi tumekua tukiona au kukutana na watu au ndugu zetu wanaojiita wawakilishi wakijaribu kutushawishi kuingia katika kile wanachokiita biashara zenye mafanikio, ambapo wanatushawishi...
36 Reactions
218 Replies
47K Views
Wakuu, habari zenu! Huu ni uamuzi wangu ambao nimeamua kuuchukua baada ya kuona napata hasara kila ninapoenda soko la mitumba pale karume, opposite na makao makuu ya TFF pale. Kitu cha kwanza...
29 Reactions
82 Replies
20K Views
Naomba kufahamishwa ule mpango aliousema mkuu wa mkoa wa Dar es salaam ndugu Makonda mwaka jana kua maduka yote ya magari kufikia Disemba 31. 2017 yatakua yamehamia kigamboni umefikia wapi? Bado...
4 Reactions
25 Replies
4K Views
Napenda kuwapongeza hawa ndugu zetu polisi kwa huu utaratibu wao wa kuvuta gari haswa kukiwa kuna foleni kwa kweli nawa pongeza sana sana kwa hilo. isipokuwa kuna baadhi yao huwa wanatuchefua sana...
0 Reactions
1 Replies
886 Views
Wakuu, Baada ya wimbi hili la kuhamahama wabunge wa upinzani kuelekea CHADEMA na muda mfupi uliopita Mbunge wa Serengeti kuhamia CCM, natumia fursa hii kumshauri Mbunge wa Mbeya Mjini Joseph...
5 Reactions
74 Replies
9K Views
Kwenye kila blogs 3, utakuta blog 1 ina makosa ya uandishi (spelling error) karibia kwenye kila habari inayotoa. Hii huwa inanifanya nifikirie kwamba owner wa blogs hizi AMA hawana uwezo mzuri wa...
1 Reactions
19 Replies
3K Views
Aisee mzazi ni mzazi tu lakini kuna kipindi wazazi hufanya maamuzi na mambo ambayo huumiza Sana mioyo na hisia za watoto zao.. Binafsi nakumbuka mwaka 2015 nlikuwa sina mpango wa kwenda Jeshi...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Baadhi ya yake yana ukweli. _Hii ni kwel hata kama ulikua hujui kubali tu, maana ndio ukweli uliopo)._ 1. Mtu hufanya ishara nyingi za mikono akiwa anazungumza ukweli. Azungumzae uongo mikono...
34 Reactions
75 Replies
23K Views
Jamani mm nipo tofauti kidogo na maamuzi ya viongozi wetu sijui nyie mnaonaje, MICHANGO YA RAMBIRAMBI AU ZILE POLE, YOTE WALITAKIWA WAPEWE WAHUSIKA, hawa watu wana maumivu makali mioyoni mwao...
12 Reactions
37 Replies
3K Views
Guys tuunge mkono campaign ya kuomba administrator wa JF kafanyie modifications application yetu pendwa kwa kuweka option ya kuweza Ku delete thread Bila Msaada mods. Zipo sababu nyingi lakini...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Diwani wa Kata ya Ukonga wilaya ya Ilala jijini Dar es salaam, Jumaa Mwipopo (katikati) akikata utepe kufungua rasmi jengo la vyoo lililojengwa kwa hisani ya benki ya Diamond Trust Bank (DTB) kwa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
```*VODA KAMA MMETUCHOKA WANA CHUO MTUAMBIE* Habari ziwafikie popote mlipo........ Sisi ni wanachuo watoto wa maskini kutoka Tanzania ambao tulitokea kuupenda mtandao wa Vodacom na kuona ni...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…