Kurzweil
JF-Expert Member
- May 25, 2011
- 6,622
- 8,427
Jeshi la Polisi mkoani Simiyu linamshikilia, Mathias Lusinga, kwa kosa la kukutwa na sare za jeshi hilo Kitengo cha Usalama Barabarani na kujifanya trafiki, kisha kukamata madereva wa bodaboda, kuwabambikia makosa mbalimbali na kuwatoza faini, wilayani Meatu
Chanzo: Mtanzania
Chanzo: Mtanzania