Shinyanga: Kila mwezi ngombe wanachanjwa 1@ Tsh 1000/=, je Mamlaka zinajua?

livafan

JF-Expert Member
Oct 20, 2016
2,925
5,528
Juzi Juzi nilitembelea kijijini kwetu maeneo ya kanda ya ziwa katika harakati za hapa na pale , lkn kwa kuwa nami nimuenyeji Wa maeneo hayo na watu wengi tunafamiana nao ,nikapata Bahati ya kushirikishwa jambo na mmoja Wa wananzengo (mkaaji) Wa eneo hilo. Kuna siku tulikuwa tukibadilishana mawazo na huyo ndugu mida ya sa mbili mbili usiku hivi Mara tukasikia mtu anagonga kengele kuwataarifu wafugaji Wa eneo hilo kwamba kesho ake kuna chanjo ya ng'ombe ambayo inasemekana hapo kijijini hufanyika kila mwezi na kila mfugaji anatakiwa apeleke ngh'ombe zake woote kuchanjwa bila kukosa na usipofanya hivo hatua Kali zinachukuliwa juu yako.

Lakini hata hivyo nilivyojalibu kumdadisi dadisi huyo mdau akasema hata hivyo sisi kama wananchi/wafugaji Wa eneo hili hatuliziki na huduma hii maana tunahisi kama tunaibiwa kwa kuwa huwa tunatozwa Tsh 1000/= kwa kila kichwa cha Ng'ombe na hili zoezi ni endelevu kila mwezi lazima lifanyike, list wanazopewa sio electronically formed na cha ajabu inaonekana tu kuwa ni watu nakampuni zao wanalifanya hili zoezi maana hizo list hubadilika badilika jina la service provider.

Hata hivyo jamaa akaenda mbali zaidi na kusema namna wanavyo chanja hugusa gusa tu nakupelekea hofu kwa wamiliki ya kwamba yawezekana ukawa ni usanii tu wanachezewa.

Alinionesha baadhi ya list ambazo hupewa baada ya huduma kutolewa .

Je mamlaka husika mnalitambua hili zoezi linalofanywa huko kwa watz hawa wanyonge.
2018-10-04_11.57.07.jpg
2018-10-04_12.01.14.jpg
 
Je mamlaka husika mnalitambua hili zoezi linalofanywa huko kwa watz hawa wanyonge.View attachment 886398View attachment 886399
Enzi zile tunachunga ng'ombe huko simiyu siku ya chanjo tulikuwa tunaficha baadhi yao ili kupunguza gharama. Tulikuwa tunadamka sa11 alfajiri na kuwapeleka porini unaacha nyumbani kama wa5 tu ivi
Zamani sana 94-97 naona zoezi bado linaendelea.
 
Back
Top Bottom