Hakuna mtu mnafiki kama Manyerere Jackton

Ciprofloxacin.

JF-Expert Member
Apr 15, 2015
1,583
2,696
Alileta thread humu eti mkuu wa majeshi angewasili 16/10/2015.Tukio la mkuu wa majeshi kuwasili kutoka ziara ndefu ya ughaibuni lazima liambatane na kuonekana ktk vyombo vya habari kama TV na magazeti,lakini yote haya hayakuonekana utadhani aliyerudi ni mwenyekiti wa kijiji.

Ben Saanane kaweka uzi kwa kuipa serikali siku 7 mkuu wa majeshi awe kaonekana au la ataanzisha kampeni maalumu ya #Bring back our General.

Anakuja Manyerere na kumponda Ben Saanane akidai eti anatafuta umaarufu humu JF baada ya umaarufu wake kupotea,sasa namuuliza manyerere kama Ben anatafuta umaarufu kwa kitu kisichokuwepo na yeye alisema Jenerali amerudi basi yeye kama mwandishi nguli aweke ushahidi humu au ktk gazeti lake la Jamhuri kuhusu ujio wa Jenerali na siyo kubwabwaja kinafiki humu hana hata aibu,na serikali haiwezi kutoa namba za simu za Msemaji wa Jeshi eti anayetaka kujua alipo Jenerali alipo ampigie msemaji huyo.

Huo ni mtego ili kuwanasa vimbelembele, Manyerere acha unafiki unadhalilisha sana fani ya uandishi,hufai kabisa.
 
Mwenyewe umekiri kuna 'vimbelembele'
sasa unamlaumu Manyerere kwa lipi?
 
Huyu mh mbona anaingia nchini kwa ukimya sana..anazidiwa ata padre slaa akienda au kutoka marekani tunajua
 
Kwa akili yake eti anafkiri atapata cheo kama CCM watashinda... Ukweli asio jua ni kwamba CCM safari hii haishindi hata kwa dawa
 
Ni kweli aisee huyu ananyemelea cheo feki kabisa,maskini angejua kuwa ccm haishindi asingehangaika kabisa.
 
manyerere ni mtu makini sana gen yupo tz muda tu au mnataka aonekane ufipani
 
Kwa akili yake eti anafkiri atapata cheo kama CCM watashinda... Ukweli asio jua ni kwamba CCM safari hii haishindi hata kwa dawa

Weka Akiba ya Maneno Mkuu, Katika Watu ambao hawataamini na watakao kuwa na Hali ya mbaya.. Wewe ni Mmoja wapo
 
Alileta thread humu eti mkuu wa majeshi angewasili 16/10/2015.Tukio la mkuu wa majeshi kuwasili kutoka ziara ndefu ya ughaibuni lazima liambatane na kuonekana ktk vyombo vya habari kama TV na magazeti,lakini yote haya hayakuonekana utadhani aliyerudi ni mwenyekiti wa kijiji,Ben Saanane kaweka uzi kwa kuipa serikali siku 7 mkuu wa majeshi awe kaonekana au la ataanzisha kampeni maalumu ya # Bring back our General,anakuja manyerere na kumponda Ben saanane akidai eti anatafuta umaarufu humu JF baada ya umaarufu wake kupotea,sasa namuuliza manyerere kama Ben anatafuta umaarufu kwa kitu kisichokuwepo na yeye alisema jenerali amerudi basi yeye kama mwandishi nguli aweke ushahidi humu au ktk gazeti lake la jamhuri kuhusu ujio wa jenerali na siyo kubwabwaja kinafiki humu hana hata aibu,na serikali haiwezi kutoa namba za simu za msemaji wa jeshi eti anayetaka kujua alipo jenerali alipo ampigie msemaji huyo,huo ni mtego ili kuwanasa vimbelembele,manyerere acha unafiki unadhalilisha sana fani ya uandishi,hufai kabisa.

Mwehu huyo Manyerere ingekua kwetu Tanga ningemuita chatoka, mtu kama mkuu wa majeshi hawezi kurejea hata asionekane ukizingatia na uvumi huu unaoendelea,Maccm si yangetumia gharama yeyote wamuonyeshe ili wapumue
 
Alileta thread humu eti mkuu wa majeshi angewasili 16/10/2015.Tukio la mkuu wa majeshi kuwasili kutoka ziara ndefu ya ughaibuni lazima liambatane na kuonekana ktk vyombo vya habari kama TV na magazeti,lakini yote haya hayakuonekana utadhani aliyerudi ni mwenyekiti wa kijiji,Ben Saanane kaweka uzi kwa kuipa serikali siku 7 mkuu wa majeshi awe kaonekana au la ataanzisha kampeni maalumu ya # Bring back our General,anakuja manyerere na kumponda Ben saanane akidai eti anatafuta umaarufu humu JF baada ya umaarufu wake kupotea,sasa namuuliza manyerere kama Ben anatafuta umaarufu kwa kitu kisichokuwepo na yeye alisema jenerali amerudi basi yeye kama mwandishi nguli aweke ushahidi humu au ktk gazeti lake la jamhuri kuhusu ujio wa jenerali na siyo kubwabwaja kinafiki humu hana hata aibu,na serikali haiwezi kutoa namba za simu za msemaji wa jeshi eti anayetaka kujua alipo jenerali alipo ampigie msemaji huyo,huo ni mtego ili kuwanasa vimbelembele,manyerere acha unafiki unadhalilisha sana fani ya uandishi,hufai kabisa.

Baba Minyoo ikianza kuuma inapoteza muelekeo ila Jambo Leo na Uhuru ni media za kuogopwa kama ukoma!
 
Kwa akili yake eti anafkiri atapata cheo kama CCM watashinda... Ukweli asio jua ni kwamba CCM safari hii haishindi hata kwa dawa

ewe mtu akili yako ndogo sana we utapiga kura ngapi
 
Attachments

  • 1445272887636.jpg
    1445272887636.jpg
    59.6 KB · Views: 1,301
Back
Top Bottom