RC Gambo afiwa na Dada yake

RC Gambo afiwa na Dada yake

digalangosha

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2013
Posts
1,574
Reaction score
2,295
TANZIA

Jana tarehe 04/10/2018, Rc Gambo amempoteza dada yake Bi Mwajuma Gambo katika hospitali ya Muhimbili, bwana alitoa na bwana ametwaa jina lake lihimidiwe.......
 
Pole kwake na familia,ni mwaka huu kapoteza mama yake.
 
Pole kwa mkuu wa mkoa wa Arusha. Mungu akutie nguvu.
 
Jamaa kawa mpole huenda Mungu anamfundisha kuwa kuna maisha nje ya uongozi pole kwake
Mungu sio mwanadamu...unavyofikiria suvyo anavyofikiria...

Kifo ni jambo ambalo linawapata wema na hata waovu.
BWANA ALITOA NA BWANA AMETWAA JINA LAKE LIHIMIDIWE
 
Nko nyumban nawapongeza wotoza ushuru wa mtaa hata buku mbili wakichukua sio nongwa
 
Back
Top Bottom