Dunia Ina Siri nzito sana

Omary Ndama

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2017
Messages
3,180
Points
2,000

Omary Ndama

JF-Expert Member
Joined Apr 16, 2017
3,180 2,000
Toa akilini mwako Kama unaamini kuwa Mungu ndiye husababisha mvua kubwa ,pepo na majanga mbalimbali yatokanayo mafuriko duniani utakuwa upo sayari ya 200 BC,

Rejea kwenye mashindano ya Olimpic ,
Wazungu wamekuja na mtindo wa kutengeneza mvua kali zenye upepo mkali na mbaya zaidi wanazifanyia majaribio kwa nchi maskini tena zisizo na HATIA , Lengo lao moja tu DUNIA yote isaini mkataba wa "mabadiliko ya tabia nchi uliofanyika France,

Zaidi wanasayansi wameenda mbali na kuzuia mvua kwa nchi wanazotaka wao wenyewe sio ajabu Tanzania baada ya miaka 4 mbele hapatakuwa na mvua kwa mwaka mzima na hata ikinyesha ni manyunyu sana, huu mpango unaratibiwa na watu walioona mbali sana kwani chafu tena yenye kumzihaki Mungu,

Kwa neno la Lugha yako tamka kuiombea nchi yako, usije ukasema Omary Ndama hakuwahi kutamka haya, nawapenda sana ndio maana sichoki kuwadadavulia kilichopo na kinachoendelea katika sayari yetu hii, haya mwenye kukubali liombee Taifa lako na mwenye kupuuza comment ujinga wowote nao ni jibu tosha kwa wajinga wenzako
Asubuhi njema...
FB_IMG_1538705109478.jpeg
 
Baba Joseph17

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2013
Messages
7,531
Points
2,000

Baba Joseph17

JF-Expert Member
Joined Jul 15, 2013
7,531 2,000
Toa akilini mwako Kama unaamini kuwa Mungu ndiye husababisha mvua kubwa ,pepo na majanga mbalimbali yatokanayo mafuriko duniani utakuwa upo sayari ya 200 BC,

Rejea kwenye mashindano ya Olimpic ,
Wazungu wamekuja na mtindo wa kutengeneza mvua kali zenye upepo mkali na mbaya zaidi wanazifanyia majaribio kwa nchi maskini tena zisizo na HATIA , Lengo lao moja tu DUNIA yote isaini mkataba wa "mabadiliko ya tabia nchi uliofanyika France,

Zaidi wanasayansi wameenda mbali na kuzuia mvua kwa nchi wanazotaka wao wenyewe sio ajabu Tanzania baada ya miaka 4 mbele hapatakuwa na mvua kwa mwaka mzima na hata ikinyesha ni manyunyu sana, huu mpango unaratibiwa na watu walioona mbali sana kwani chafu tena yenye kumzihaki Mungu,

Kwa neno la Lugha yako tamka kuiombea nchi yako, usije ukasema Omary Ndama hakuwahi kutamka haya, nawapenda sana ndio maana sichoki kuwadadavulia kilichopo na kinachoendelea katika sayari yetu hii, haya mwenye kukubali liombee Taifa lako na mwenye kupuuza comment ujinga wowote nao ni jibu tosha kwa wajinga wenzako
Asubuhi njema... View attachment 887035
Acha uongo mbona huko USA, Europe, ASIA tena kule SE, wanakubwa na vimbunga kila mwaka si wangevihamishia huku kwetu? Kasome Typhoon na Catrilina, Earth quakes nk. Dunia imejishape sisi ambao tuna magonjwa kama malaria, HIV and AIDS, Ebola nk hatukumbwi sana na majanga ya asili
 
Omary Ndama

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2017
Messages
3,180
Points
2,000

Omary Ndama

JF-Expert Member
Joined Apr 16, 2017
3,180 2,000
Acha uongo mbona huko USA, Europe, ASIA tena kule SE, wanakubwa na vimbunga kila mwaka si wangevihamishia huku kwetu? Kasome Typhoon na Catrilina, Earth quakes nk. Dunia imejishape sisi ambao tuna magonjwa kama malaria, HIV and AIDS, Ebola nk hatukumbwi sana na majanga ya asili
Maleria, HIV, Ebola, kifua kikuu wakuongezee na vibunga vya Catrina Afrika SI mtakwisha....one stap by another, saa hizi pambaneni na maradhi ukosefu wa chakula maji Safi na malazi kwanza, utafika muda tu mtaletewa Catrina,na Tsunami, akili ya mtu mweusi Ni fupi Kama maisha ya funza, wewe unaangalia leo wenzio wanaangalia maisha yajayo...
 
GoPPiii.

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2014
Messages
1,471
Points
2,000

GoPPiii.

JF-Expert Member
Joined Oct 6, 2014
1,471 2,000
Huu ni uwongo kabisa. Hayo magonjwa hata wao wanaugua. Wao ndio huongoza kupatwa majanga ya hali ya hewa,vimbunga,maafuriko.

Tatizo la mtu mweusi ni kutengeneza vi theory kuwa mtu mweupe ni mtu mbaya.
 
gigabyte

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2015
Messages
1,137
Points
2,000

gigabyte

JF-Expert Member
Joined May 27, 2015
1,137 2,000
Mungu alichoumba ni mvua naakaiwekea jinsi ijisimamie yenyewe,swala la kwamba inyeshe wapi na isinyeshe wapi ilo ni jambo jingine ambalo hausiani nalo.Hao wazungu unaowasema bado hawawezi kutengeneza kitu ambacho kiko nje ya dunia,navyote vya duniani vina chanzo ambacho ni uumbaji wa Mungu.
 
kibhopile

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2010
Messages
1,462
Points
1,500

kibhopile

JF-Expert Member
Joined Aug 5, 2010
1,462 1,500
Ha ha haa umemalizia na neno asubuhi njema as if ulikuwa unagawa vitumbua. Anyway the I trust you. Najiambiaga I suppose to open my mind for extreme possibilities.
 
ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2016
Messages
7,591
Points
2,000

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined Aug 31, 2016
7,591 2,000
Katika maajabu makubwa ya mwenyeziMungu ni ishu ya mvua.hakuna anayejua vizuri hii cycle japo tunaisoma kwenye hdrology lakini in Siri kubwa Sana na hata hao wazungu hawana uwezo wa ku disturb
 
wiseboy

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2011
Messages
2,941
Points
2,000

wiseboy

JF-Expert Member
Joined Mar 22, 2011
2,941 2,000
Ugonjwa wetu wafrica ndio huu, kiiila jambo ni kulaumu wazungu, tabia za ulalamishi huwa natumia kama kigezo cha mtu mwenye ubongo unaowahi kugota kufikilia no alternatives! Finaly unamalizia watu waombe sana, tuache kumchosha mungu!
 
Liwagu

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2017
Messages
1,801
Points
2,000

Liwagu

JF-Expert Member
Joined Jan 25, 2017
1,801 2,000
Toa akilini mwako Kama unaamini kuwa Mungu ndiye husababisha mvua kubwa ,pepo na majanga mbalimbali yatokanayo mafuriko duniani utakuwa upo sayari ya 200 BC,

Rejea kwenye mashindano ya Olimpic ,
Wazungu wamekuja na mtindo wa kutengeneza mvua kali zenye upepo mkali na mbaya zaidi wanazifanyia majaribio kwa nchi maskini tena zisizo na HATIA , Lengo lao moja tu DUNIA yote isaini mkataba wa "mabadiliko ya tabia nchi uliofanyika France,

Zaidi wanasayansi wameenda mbali na kuzuia mvua kwa nchi wanazotaka wao wenyewe sio ajabu Tanzania baada ya miaka 4 mbele hapatakuwa na mvua kwa mwaka mzima na hata ikinyesha ni manyunyu sana, huu mpango unaratibiwa na watu walioona mbali sana kwani chafu tena yenye kumzihaki Mungu,

Kwa neno la Lugha yako tamka kuiombea nchi yako, usije ukasema Omary Ndama hakuwahi kutamka haya, nawapenda sana ndio maana sichoki kuwadadavulia kilichopo na kinachoendelea katika sayari yetu hii, haya mwenye kukubali liombee Taifa lako na mwenye kupuuza comment ujinga wowote nao ni jibu tosha kwa wajinga wenzako
Asubuhi njema... View attachment 887035
Achau uongo we jamaa, tecnolojia zimeanza juzi tu, mvua na majanga vilikuwepo miakamingi sana iliyopita.
 
AbouZakariya

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2013
Messages
947
Points
1,000

AbouZakariya

JF-Expert Member
Joined Mar 19, 2013
947 1,000
Toa akilini mwako Kama unaamini kuwa Mungu ndiye husababisha mvua kubwa ,pepo na majanga mbalimbali yatokanayo mafuriko duniani utakuwa upo sayari ya 200 BC,

Rejea kwenye mashindano ya Olimpic ,
Wazungu wamekuja na mtindo wa kutengeneza mvua kali zenye upepo mkali na mbaya zaidi wanazifanyia majaribio kwa nchi maskini tena zisizo na HATIA , Lengo lao moja tu DUNIA yote isaini mkataba wa "mabadiliko ya tabia nchi uliofanyika France,

Zaidi wanasayansi wameenda mbali na kuzuia mvua kwa nchi wanazotaka wao wenyewe sio ajabu Tanzania baada ya miaka 4 mbele hapatakuwa na mvua kwa mwaka mzima na hata ikinyesha ni manyunyu sana, huu mpango unaratibiwa na watu walioona mbali sana kwani chafu tena yenye kumzihaki Mungu,

Kwa neno la Lugha yako tamka kuiombea nchi yako, usije ukasema Omary Ndama hakuwahi kutamka haya, nawapenda sana ndio maana sichoki kuwadadavulia kilichopo na kinachoendelea katika sayari yetu hii, haya mwenye kukubali liombee Taifa lako na mwenye kupuuza comment ujinga wowote nao ni jibu tosha kwa wajinga wenzako
Asubuhi njema... View attachment 887035
Mkuu Ndama, ahsante kwa ujumbe, ila ni lazima upate upinzani mkubwa kutoka kwa wachangiaji kwa kuwa ujumbe wako haujabeba ushahidi wowote kama kithibitisho cha usahihi na ukweli juu ya ujumbe wako.
Fanya hima lete ushahidi watu waufanyie kazi.
Maneno matupu yaso ushahidi hayana uzito.
 
Forum statistics

Threads 1,379,350
Members 525,398
Posts 33,744,892
Top