Kwa wale wa dishi kilikua kinaanzia elfu 10 sasa ni elfu 11 kila siku hawa jamaa wanapandisha halafu channel zenyewe 15 tu
Antenna kutoka elfu 7 hadi 8000 mwafaaa
Hawa jamaa wanapandisha daily...
Za Leo Ndugu zanguni,kwa wale wenye matatizo mola awajalie wepesi kuvuka.
Nimekaa nikakumbuka Mahusiano yangu ya Nyuma na x wangu nikabaki kutingisha kichwa .kifupi nilikuwa mkweli sana ktk...
Tanzania leo imeadhimisha Siku ya Walimu Duniani ambapo moja ya changamoto wanayokumbana nayo walimu nchini ni mazingira magumu ya kufundisha na kufundishia ikiwemo uhaba wa madarasa kama ambavyo...
Habari za jioni wandugu.
Kwanza kabisa nipende kupongeza jitihada kubwa zinazofanywa na Mh. Rais JPM kwa wakulima na watu wa hali ya chini. Lakini sasa nipende kumtaarifu kuwa kuna baadhi ya...
IANPHi members at their annual meeting in October 2012 elected Pekka Puska, director general of Finland's National Institute for Health and Welfare-THL, as president, succeeding Jeffrey Koplan...
Nasikia huko Nigeria watu wananunua zile chupa za dawa ya kikohozi ya syrup na kuichanganya na cocacola kisha wanainywa ili kupata ulevi. Hii ina madhara makubwa mno kwani ni addictive mno, inaua...
Na Mwandishi wetu
Dar es Salaam
5 Oktoba, 2018
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imewakamata watu wawili mwanamke na mwanaume kwa kosa la kugushi Risiti za Kielektroniki za EFD katika maeneo ya...
LOL
Tunapenda kusema mazuri ya JF; ni kweli inatusaidia tunaelimika ,tubaburudika na kushusha stress huku..
ila ni ukweli pia,ukiwa hooked unapoteza muda mwingi huku kubonyeza kidude cha what's...
Basi la Kampuni ya New force linalofanya safari zake Dar es salaam kwenda Songea, limepata ajali leo asubuhi maeneo ya Igawisenga barabara ya Songea Njombe.
Ajali hiyo imetokea baada ya Lori...
Unapoishi hapa duniani unatakiwa uelewe tu kuwa kufa ni lazima na tutafukiwa ardhini na kuwa chakula cha wadudu. Wadudu wata-enjoy kututafuna sisi vibaya kabisa.Mwishowe tutakuwa udongo...
Mfanyabiashara wa vyakula Muheza mkoani Tanga, Michael Mdimu, amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Wilaya ya Muheza kwa tuhuma za kumpa ujauzito binti yake mwenye umri wa miaka 17 (jina...
Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dodoma, Jacob Nyangusi amekamatwa na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) kwa tuhuma za rushwa ya ngono.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Takukuru...
Kwa wale mnaotarajia kununua spare Kupitia Beforward Japan mnatakiwa kujua kuwa sasa wamebadili utaratibu kutoka ule wa kupokea spare ikishafika.
Sasa Spare ikifika unaifanyia clearance kama vile...
Kiukweli napenda mziki mzuri, licha ya kumkubali ally K lakini pia nakubaligi hit songs za mnyama plutnumz,
Leo nimemaliza 500MB kwa kuirudia hii ngoma ya " sina " jamaa katukosha ile mbaya...
Wakuu
Baada ya NECTA kutangaza kufuta matokeo ya darasa la saba kwa baadhi ya shule zilizofanya udanganyifu, sie baadhi ya wazazi ambao watoto wetu bado wapo wanaendelea na masomo katika shule...
Sisi binadamu tuna uwezo mkubwa sana ambao upo ndani yetu. Wengi huwa hatufahamu uwezo huu kwa sababu tumekuwa tunafanya mambo yetu kwa mazoea. Lakini kama tukipata nafasi ya kuchunguza kwa makini...
Kama una pass ya zamani Ikivuka 2020 utakuwa huna pass valid maana zitakapofungwa za zamani taarifa huenda duniani kote na matumizi ya pass mpya yanaanza rasmi