What's new......

What's new......

Rebeca 83

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2016
Posts
15,669
Reaction score
33,691
LOL

Tunapenda kusema mazuri ya JF; ni kweli inatusaidia tunaelimika ,tubaburudika na kushusha stress huku..

ila ni ukweli pia,ukiwa hooked unapoteza muda mwingi huku kubonyeza kidude cha what's new 😀😀😀,

namaanisha kuna negative consequences pia za kutumia huu mtandao…

moja ni kushindwa kufanya responsibities nyingine,

kiasi kwamba 'inakucost' dearly..

naamini kuna watu waliofilisika,waliofeli shule,waliofukuzwa kazi sababu JF!

tuambiane tunazikabili vipi hii changamoto za kubonyeza 'what's new ' kibatani cha JF cha kutafuta new threads lol
 
kwa kweli tangu nijiunge JF kwangu ina faida mno ukizingatia nakuwa online 14 hours mwaka mzima
 
LOL

Tunapenda kusema mazuri ya JF; ni kweli inatusaidia tunaelimika ,tubaburudika na kushusha stress huku..

ila ni ukweli pia,ukiwa hooked unapoteza muda mwingi huku kubonyeza kidude cha what's new 😀😀😀,

namaanisha kuna negative consequences pia za kutumia huu mtandao…

moja ni kushindwa kufanya responsibities nyingine,

kiasi kwamba 'inakucost' dearly..

naamini kuna watu waliofilisika,waliofeli shule,waliofukuzwa kazi sababu JF!

tuambiane tunazikabili vipi hii changamoto za kubonyeza 'what's new ' kibatani cha JF cha kutafuta new threads lol
Huwa unaacha kazi na kuingia mtandaoni?

Kwangu 2016 kurudi nyuma kweli nilikuwa naingia bila kuamua...ila ya sasa naingia kwa mazoea.
 
Kiko wapi hiko kibatani cha what's new... naomba hako ka elimu huwa nahangaika sana
 
Hiyo ni akili tu ya mtu, kama hauwezi ku-manage muda wako vizuri yatakukuta ya kukukuta,
 
Back
Top Bottom