Kwa wale mnaotarajia kununua spare Kupitia Beforward Japan mnatakiwa kujua kuwa sasa wamebadili utaratibu kutoka ule wa kupokea spare ikishafika.
Sasa Spare ikifika unaifanyia clearance kama vile ukinununua gari.
Utaratibu huu mpya ni usumbufu mkubwa kwa wanunuzi kwani fixed costs mbali na kodi za kutoa kitu cha hata $1 tu ni kama ifuatavyo.
1) Shipping line - 150,000/=.
2) TBS. - 180,000/=
3)Agency fee - 200,000-250,000/=
4)Port Charges = 250,000/=
Fixed costs ni kati ya 780,000/= na 830,000/=
Kwa mfano kama umenunua spare ya $ 100 kodi zako zitakuwa kama ifuatavyo.
Import duty. 10% - 22,720.50/=
VAT 18% - 40,896.90/=
RDL. 1.50% - 3,408/=
CPF. 0.60% - 1,363/=
Total Duties = 68,389/=
Ukijumlisha na Port Clearance Charges jumla itakuwa kati ya 850,000/= na 900,000/=
Beforward Tanzania hawaweki wazi hizi gharama kwenye website yao hasa zile fixed costs.
Kama hujui utastuka bidhaa imefika na wewe unatakiwa ulipie karibu milioni kama vile una-clear gari.