Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kwa ambao hatukuwahi kufika Kenya hii gari hapo BusCar inafanya safari za Nairobi - kampala na hapo pembeni ni mizigo inayosubili kuingizwa kwenye basi, toa maoni yako umelionaje basi hilo. [emoji16]
0 Reactions
9 Replies
4K Views
POMBE ZA VIROBA KATIKA MFUMO MPYA ... TAFADHALI SERIKALI CHUKUENI HATUA!!! Nakumbuka ilikuwa ni mwaka jana, 2017 serikali ilipopiga marufuku usambazwaji na uuzwaji wa pombe maarufu kwa jina la...
1 Reactions
21 Replies
5K Views
Mkuu wa Wilaya ya Misungwi jijini Mwanza, Juma Sweda amemweka rumande Mkuu wa Shule ya Sekondari ya Misasi, Deusedent Damas akituhumiwa kujihusisha na mapenzi shuleni. Akizungumza na waandishi wa...
0 Reactions
12 Replies
5K Views
Nimekaa najiuliza jirani zetu wanaoizunguka Tanzania, na wanao jaribu kuki download kiswahiIi. Hii misemo ya kama fyekelea mbali na mingine, kwetu sisi sio mipya ila inapozuka na kuanza kutumika...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Ivi mwanamke kuvaa kikuku(Shango au bangili inayovaliwa mguuni) katika mguu wake inakuwa na maana gani?
0 Reactions
23 Replies
5K Views
Salaam wakuu. Natafuta sana mawasiliano ya hawa ndugu Asas Dairy (Iringa) hasa MARKETING Department. Kwa mwenye ukaribu na uongozi tuwasiliane PM ili tuweze shiriki pamoja deal. Au hata kama si...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mwanzoni, sikuamini kwamba walikuwa wamekufa. Kwa hakika nikiwaza sana namna gani wote waliweza kufa kwa pamoja...[emoji29] [emoji29] Wakati pale nilitambua kwamba ilikuwa kweli wamekufa, bado...
2 Reactions
55 Replies
6K Views
In Summary The two later took their chitchat to a serious level, playing key roles in securing a $600 million foreign loan for the government and opening a can of worms over mega corruption in...
3 Reactions
24 Replies
8K Views
Waziri wa ujenzi, uchukuzi na mawasiliano, Mhandisi Isack Kamwelwe amewafukuza nchini watu wawili raia wa China na kuwataka waondoke mara moja kwa kosa la kuwapiga na kuwanyanyasa watanzania...
4 Reactions
72 Replies
7K Views
Ndugu,napata shida jinsi ya kuandika maombi ya ufadhili ya kupata msaada katika shule yangu.naomba kufahamishwa hatua. Au link
0 Reactions
2 Replies
964 Views
Nimekua mlevi toka nikiwa primal mpaka sasa nimepewa ushauri nimejitahidi kuacha pombe nashindwa kulala nitaota ndoto za ajabu ajabu mpaka kichwa kinama?kuna siku nilifanyiwa maombi niache pombe...
0 Reactions
23 Replies
4K Views
Nataka kuanzisha (WOCOBA) Workers Community Bank. Ni hatua zipi inatakiwa nifuate ili nisajiliwe na nifanye kazi kisheria?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kwa wenzetu mliobahatika kusoma shule za kiseminari, naomba maana ya I'm removing you. Limekuwa likinichanganya kila kukicha.
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Wakuu habari za asubuhi, Naomba kusaidiwa course ipi ni nzuri kwa kusoma kati ya hizi (1)BACHELOR'S DEGREE IN ACCOUNTING AND TRANSPORT FINANCE -NIT DSM (2)Bachelor of Arts in Public Relations and...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Siasa nchini imejaa ulaghai na ubabaishaji mwingi. Watu wengi wanaingia siasa kwa bahati mbaya tu kwani hawana mvuto wala karama zozote za uongozi. Wengine wamefuata huko maslahi na si kuwaongoza...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Habari wanajamii, naomba kuelezwa ni wapi naeza tuma ems nje ya nchi na gharama yke. nchi inapotoka: TANZANIA nchi inapokwenda: SOUTH KOREA pia makadilio ya muda mpka kufika huko. Ahsanteni
0 Reactions
0 Replies
885 Views
Habari wataalam! Gharama za matibabu ni changamoto kubwa sana hapa nchini. Mbali na changamoto yenyewe, vitengo vya I.C.U huwa wana utaratibu ambapo Daktari humuagiza muuguzaji akanunue orodha...
14 Reactions
154 Replies
20K Views
Najiuliza swali hivi mataifa yataficha aibu hii kivipi kwa vizazi vijavyo.aibu ya kuvitana Vita kuu mbili za dunia.kwa kweli ni history mbaya na chafu sana.hebu fikiria ungekuwa wewe unaishi miaka...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Bonjour wanaJF! Matukio mbalimbali katika maisha huwa yanafikirisha sana. Na humfanya mwanadamu atafakari ni nini hasa kipo nyuma yake. Kwanini yanatokea. Tunaweza tukaishia kusema ni mipango ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…