Ndio kwanza mwezi wakwanza tangu kibarua kiote nyasi. Lakini naisoma namba sasa najiuliza kwa wale waliopanga na hawana ajira yoyte ile wanaezaje kuyamudu maisha?
[emoji294] Panya mmoja alichungulia kupitia kijitundu kilichokuwa kwenye ukuta wa nyumba ya Mkulima mmoja akiangalia kwa umakini wakati mkulima yule pamoja na mke wake wakifungua kimzigo flani...
Nilikuwa naambiwa na watu kuwa kuna mchezo wa watu kupotea hasa usiku wakiwa wanaelekea majumbani kwao.
Jumamosi ilinitokea yaani nilikuwa nimebakiza kama nyumba moja tu kufika nyumbani...
Kuna nyimbo za zamani zina hisia kali sana. Nimeukumbuka ule wimbo wa taarab uliokuwa unatumika kama kibwagizo kwenye taarifa ya BBC Idhaa ya Kiswahili.
🎼"BBC idhaa ya Kiswahili kwa habari...
Tunawasaidiaje hawa? Je hata kama eanawakimbia kwa kukosa nyenzo, je camera haziwezi kuwasaidia ili traffic aliyeko Mbele asaidie kama ilivyo kwenye magari?
Ndugu wapo mjini ila wanajifanya hawanijui ili hali nina Ushahdi wa Kimazingira, picha zao mbalimbali za utotoni (nilipewa na Binamu aliyejinyonga mwaka 2008 ila hadi leo nimesurvive nazo)...
Kipindi azama mnazuiliwa kuonyesha taarifa ya habari katika channel ya azam two nilitaka sana kujua sababu
Maana local channel mliambiwa mziondoe kwa kuwa leseni zenu haziruhusu kuwaonyesha...
Internal Sikujua kuwa Neno Nafasi likikaka kwenye nafasi ya kwanza kureply ni kosa.
Sijwazaga kula ban Jf ila ikishatokea unakubaliana tu na matokeo.
Mshana Jr Kumbe ulikuwa unamaanisha kabsa...
Habari wanajamvi
Leo nimekuja na utafiti wangu nilioufanya ndani ya mwaka mmoja. Najua wengi mtashangaa sana lakini nahitaji tujadiliane wote tuweze kupata majibu kuhusu hili suala.
Watu wengi...
Most of us out of shear ignorance believe that tap or bottled water is safer than well water.The truth however is that tap and bottled water are very dangerous for your health.Please listen to...
Wakuu,
Wale mnaotumia App ya Android ningependa kuwafahamisha kuwa leo tumerekebisha kasoro nyingi zilizokuwa zimeripotiwa kwetu na hivyo app itawaarifu kuwa kuna maboresho na inahitaji kuwa...
Walimu wa tanzania wana motisha moja tu, nayo ni kwenda kusimamia mitihani ya taifa ambayo hufanyika mara moja kwa mwaka. Mwalimu anaweza kukaa hata miaka saba hajapata nafasi hii maana yake hana...
Habari wakuu!
Kuna hii tabia imeibuka siku hizi kwenye nyumba za ibada, hasa makanisani.
Utakuta ibada imeanza au iko katikati mtu anajipiga picha au hupatana na mwenzake kwamba ampige picha...
Ulishawahi kujiuliza kwa nini mtoto akizaliwa tu lazima alie??, kwanini hili linatokea?? , kitu hiki ni fumbo kubwa kiimani... Watu wengi wamekuwa wakihusisha na ile adhabu ambayo Adam na Hawa...
Nimekuwa mpenzi wa kufatilia TAMASHA hili la FIESTA toka mwaka 2008,pale Kusaga alipo mleta 50 CENT,miaka ya nyuma hili tamasha lilikuwa la kuvutia Sana kuanzia maandalizi hadi juu ya stage hadi...