UBA hii ni ni

UBA hii ni ni

Kichochoro

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2017
Posts
1,135
Reaction score
1,168
ndg wanajf naomab kufahamishwa kuhusa uBA ni ni hasa na kaz zake ni zipi mwenye uelewa anifahamishe tafadahali:
 
UBA ni United bank of africa,makao yake makuu ni lagos Nigeria.inafanya kazi zote za kibenki unazozifahamu!!!
Asante ndg so any transaction za kibenki ninaweza kufanya!!!!
 
Nadhani unaulizia kampuni inayojishughulisha na huduma za usafiri katika Miji mbalimbali Duniani ukiwemo Dar. Wao wana tumia usafiri wa tax. Huduma zao nzuri wako kimtandao zaid
 
Back
Top Bottom