Nilikuwa na shida sana,sana,sana,baada ya kupata mchongo wa nyumba (mtu anauza nyumba yake) kwa bei ambayo kwa kweli niliona ni affordable, nilikuwa na kiasi kidogo,hivyo nikahitaji assistance ya...
Nimejaribu kujiuliza hili swali na sikupata jibu, kwanini tunasoma muda tofauti na inabyosemaka katika saa, kwa mfano:
Saa 12 = 6
Saa 8 = 2
Saa 11= 5
Wakati kwa kingereza na lugha zingine unasoma...
Katika picha hizi nimeangalia kwa makini nikaona kuna watu mara mbili, kuna anayetukuzwa na kuna anayetukuza, kuna anayeheshimu na mheshimiwa,
Cha kushangaza umri wa wanaoheshimiwa ni mdogo...
Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) imetangaza kuongezeka kwa mfumuko wa bei wa Taifa kutoka asilimia 3.3 kwa mwezi Agosti mwaka huu hadi kufikia asilimia 3.4 kwa mwaka ulioishia mwezi Septemba...
Miezi miwili iliyopita Serikali ya Tanzania ilitangaza Kuwa makampuni ya kurusha Fta
Yaani Star times, Ting, Continental Na Digtek Vitakuwa vinarusha channel 5 za kitaifa Bure
Ajabu ni Kuwa Kuna...
Kwa nini pride wanatufanyia haya?
Kwa muda sasa pride hapa arusha wamekua hawatoi mikopo.kila siku tunafuatilia akiba zetu lakini ni maneno tu.leo tumeenda wamesema eti turudi baada ya miaka...
Jana tarehe 6/10/2018 ilikuwa ni siku ya kilele cha Tamasha kubwa LA Urithi Wetu lililoandaliwa na kuratibiwa na wizara ya Utalii.
Wizara ya utalii ilitanga sana kwenye vyombo vya habari kuwa...
Hundi hiyo imepokelewa Ikulu leo na Rais Magufuli kwa niaba ya Watanzania wote.
> Ajali ya #MV Nyerere iliyotokea tarehe 20 Septemba mwaka huu ilisababisha vifo vya Watanzania 229
Rashid ni mtoto wa kwanza kuzaliwa kati ya watoto watatu. Wapili alipata scholarship kwenda kusoma nje ya nchi na watatu yuko chuo bado hapa hapa nchini.
Engineer Rashid amehitimu masomo yake na...
Habar za saiz wakuu juzi kati niliwajuza kuhusu mwalimu alie kamatwa na fedha bandia sas mwingine akamatwa baada ya kununua mabati kwenye duka la vifaa vya ujenzi baada ya kuhojiwa ikaonekana...
KATI ya Julai hadi Septemba mwaka huu, Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imekusanya jumla ya trilioni 3.84 likiwa ni ongezeko la asilimia 5.32 ikilinganishwa na makusanyo ya kipindi hicho mwaka...
Kwa wale wanaosafiri mikoa ya kusini ni wazi kuwa wanapafahamu Nangulukuru ambapo kuna hotel ya starcom
Hii ni sehemu ambayo abiria waendao kusini hupumzika kwa ajili ya chakula na kupata huduma...
Shikamoo wakubwa zangu wote
Waziri Ummy Mwalimu na TCRA walipaswa kuwabana EATV wamlipe fidia ya kifedha mtoto wa kichina aliyenyanyapaliwa mtandaoni. Hawa ndio wanyonge ambao Mheshimiwa Rais...
Today is a palindrome date.
*8-10-2018.*
*8102018*
Right to left and left to Right numbers are same. this is a unique day .
Palindrome is a word, number or phrase that reads the same...
Mkazi wa kijiji cha Ishenta wilayani Ileje Mkoani Songwe ameuawa kwa Risasi wakati Jeshi la Polisi wakitumia nguvu kuwatawanya wananchi Zaidi ya mia nne waliokuwa wakishambulia gari la polisi...
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Anna Mghwira amefiwa na baba yake mzazi, Elisha Mghwira leo Jumamosi Oktoba 6, 2018.
Akizungumza na MCL Digital leo jioni mkuu huyo wa mkoa amesema baba yake alikuwa...
Mkuu wa Wilaya Hai, Mkoa wa Kilimanjaro, Lengai Ole Sabaya ameamuru kukamatwa watumishi tisa wa soko la Kwa Sadala la wilayani humo akiwamo mkuu wa soko hilo, Joseph Akyoo kwa tuhuma za...