Habari za majukumu watanzania wenzangu?
Niko mkoani mara kwa sasa na ni mtanzania mzalendo, kwa mwezi wa 12 natarajia kwenda mkoani singida kwa ajili ya kufanya utalii kwenye maeneo yenye vovutio...
Assalaam Alaykum
Ndg wana jukwaa
Sipendi kupoteza muda,kichwa cha habari kinajieleza,napenda kuingia ndani kdg katika uchambuzi na nasaha
Akili,ni tunu katika moja ya tunu tulizopewa na...
Habar zenu wana Jamvi
Kama kichwa cha uzi hapo juu,Nimepotelewa na lain yangu ya uwakala na kuna pesa ndan yake nashindwa nifanyeje ili niirudishe.
Kwa wenye uelewa tafadhar nipeni mwanga...
WAKULIMA wa Mbaazi na Choroko hapa nchini wanatarajia kuondokana na adha ya mazao yao kukosa soko baada ya wawekezaji kadhaa kujitokeza kuwekeza katika ujenzi wa viwanda vya kuchakata mazao hayo...
Nimeshangaa kama Mkuu wa Polisi mkoa wa Dodoma anaweza kufanya hivi kwa mtuhumiwa tena mbele ya vyombo vya habari,nini huwa kinaendelea kokokoroni?
Halafu ni hawahawa huwa wanatuhamisisha wananchi...
Jeshi la Polisi Mkoani Mbeya, linalishikilia lori la mafuta mali ya Kampuni ya Oil Com, baada ya kukutwa limebeba vipodozi na pombe vilivyopigwa marufuku kuingia nchini.
Kamanda wa Polisi Mkoa...
Nimeishi Dar kwa takribani miaka 13,hakuna cha maana nilichokifanya,ila niliporudi mkoani ndani ya mwaka mmoja maisha yalikuwa tofauti kabisa. Niliacha kufikiria mawazo ya muda mfupi mfano...
Hizi story ni za washkaji ambao wamekwishajichnganya kwa hawa jamaa kwa maana mamwela.
Wenyewe wanakwambia wakikamatwa na POLISI kwa mahojiano wakiambiwa wanapelekwa STAKISHARI wenyewe wanakuwa...
Naishi Dar es salaam, kwa sasa najiandaa kuhamia Dodoma kikazi!Bajaji nayoiuza ipo katika ubora imetembea miezi saba tu, kama utahitaji nicheki kwa no hii 0714811185! Asante!!!
Hai. Wanafunzi 17 wa shule za sekondari wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro wamekiri kulawitiwa, huku baadhi ya wazazi wakisema walifanyiwa kitendo hicho Septemba 28, siku ya mkesha wa mwenge...
habari..
Najua wengi tunajua vita ya ufisadi unavyopigiwa kelele miaka kadhaa sasa..
Hapa nimesikia redioni kuna watumishi wa halmashauri geita wamefisadi bilion 2 juzi tu...
Nikakumbuka hii...
Mtu mmoja amefariki na wengine 6 kujeruhiwa baada ya kugongwa na lori liliobeba saruji katika mteremko wa kuelekea Kibaoni Tegeta baada ya kufeli breki likitoea kiwanda cha Wazo Hill .
Alipoingia madarakani mwezi November 2015 Magufuli alitimua wakurugenzi kibao wa mashirika na taasisi za umma.
Alikuja na kasi kwelikweli huku akiwatuhumu kwa uzembe, rushwa na ubadhilifu.
Mapema...
Wasalam wakuu,
Kipindi nipo JKT nilikua nasikia kuhusu ''officer cadet officer cadet'', ila sikuweza kupata taarifa zaidi kuhusu hii kitu zaidi ya kujua kwamba wanaenda kozi miezi 9 basi...
Yaani hata kama:
- Ng'ombe wa mtu wameibwa na kupitishwa barabarani, halafu
- Then baada ya muda ng'ombe wengine wa mtu yeyote wanaweza kupitishwa tu,
- Lakini miguu ya ng'ombe walioibwa...
Tuko hapa jangwani tumekaa kwenye folen kama nusu saa, hivi lengo la hawa watu nini ? watu tunachelewa kazini bila sababu.
mana cjaona hata abilia aliyeshushwa kuonyesha kwamba gari imezidisha abilia
Wakati wadau wengine wakiminywa kuzimishwa. Media ( Waandishi binafsi zaidi) muhimili muhimu sana,Wasaidieni Watanzania Kuna mtu kalewa madaraka ,misifa na Ushamba ana mapesa mengi hajui ayatumie...
Salamu wana jf!
Naandika ujumbe huu nikiwa njiani kurejea Dar es Salaam kutokea Kigoma ambapo nilikaa kule kwa wiki 2 nikiwa na safari za mara kwa mara kati ya Kasulu na Kigoma mjini...
MKOA wa Dar es Salaam umetajwa kuwa ndio mkoa ulioongoza kwa kuzalisha taka miongoni mwa mikoa yote ya Tanzania Bara.
Mkurugenzi wa Taasisi ya Nipe Fagio walioratibu tukio la Siku ya Usafi...
Mzuqa
Ni kweli yuko huru mchezaj wa zamani wa simba na mbeba boksi sweden Joseph "Golota" Kaniki ambaye alifungwa Ethiopia kwa kubeba madawa ya kulevya.
Nimemuona kwenye FB yake Kaniki Joseph...