Nimeshtuka baada ya kuona huko facebook Joseph Kaniki kaachiwa huru

The Mongolian Savage

JF-Expert Member
Jul 5, 2018
6,191
13,614
Mzuqa

Ni kweli yuko huru mchezaj wa zamani wa simba na mbeba boksi sweden Joseph "Golota" Kaniki ambaye alifungwa Ethiopia kwa kubeba madawa ya kulevya.

Nimemuona kwenye FB yake Kaniki Joseph kaposti hadi na picha za hivi karibuni
 
Eeh Joseph Kaniki "Golota " yupo uraiani karibu mwezi wa sita sasa,
 
Mzuqa

Ni kweli yuko huru mchezaj wa zamani wa simba na mbeba boksi sweden Joseph "Golota" Kaniki ambaye alifungwa Ethiopia kwa kubeba madawa ya kulevya.

Nimemuona kwenye FB yake Kaniki Joseph kaposti hadi na picha za hivi karibuni
katoka mda sana.
 
Back
Top Bottom