C.T.U
JF-Expert Member
- Jun 1, 2011
- 5,074
- 3,735
Hizi story ni za washkaji ambao wamekwishajichnganya kwa hawa jamaa kwa maana mamwela.
Wenyewe wanakwambia wakikamatwa na POLISI kwa mahojiano wakiambiwa wanapelekwa STAKISHARI wenyewe wanakuwa wadogo,unaambiwa Stakishari wanatoa dozi iliyoenda shule.
Hebu waliopitia mikononi mwa hawa jamaa watuambie stori za Stakishari.