Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Habarini humu ndani. Nauliza kama kuna bima za makampuni ya nje? Mfano mtu anataka kuwekea shamba bima ya moto. Naona haya makampuni hapa nchini mengi ikifika kipindi umepata tatizo ulilowekea...
0 Reactions
2 Replies
297 Views
Napenda kujua alipo dada Mwakitwange aliyekuwa anaendesha kipindi cha Tanzania tunayoitaka, toka awamu hii ya 5 iingie sijamsikia kabisa mwenye kujua hizo taarifa atusaidie, na imani tunamuitaji...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Swali linatatiza hili najua humu wajuvi wa Botany mpo tupeni elimu mwanzi ni mti? au nyasi? Swali hili limeibuka wakati natafakari kuutumia mmea huu hasa ule mwanzi wa njano kama moja ya mimea...
0 Reactions
26 Replies
8K Views
Polisi yakamata pesa nyingi zikisafirishwa kwa njia isiyo halali katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwl.Nyerere jijini Dar ==== Kutoka uwanja wa ndege wa Julius Nyerere leo tarehe 9.10.2018...
1 Reactions
45 Replies
7K Views
Leo mwenye shahada au stashahada hana tofauti na ambaye hajasoma.Mtu aliyemaliza chuo hana cha ziada mbele ya mtu aliyemaliza kidato cha nne au darasa la saba kabisa labda kiingereza cha kubambia...
33 Reactions
168 Replies
15K Views
Ndani ya nyumba pesa ni sabuni ya roho. Kila kitu huhitaji pesa. Mara chakula, mara malazi, mara mavazi (hata ya anasa) pesa ni kitu 'wanted through out' kwa uhai wa familia yako na kuepusha...
46 Reactions
119 Replies
11K Views
Mkitembelea tweeter mtakutana na ujumbe kama huo hapo juu ,mwanasiasa mmoja anaandika kuwa ipo siku gazeti hilo litaandika chama fulani ( ..) Kinahujumu mvua isinyeshe.[emoji23] [emoji23]...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Mtanzania George Jonas anayefanya kazi katika Kampuni la Uundaji Ndege la Boeing, amependekezwa kuwania tuzo ya Mhandisi Bora Mweusi (BEYA) nchini humo. Jonas alikuwa miongoni mwa Wataalamu...
5 Reactions
58 Replies
9K Views
Habari wanajamii. Mimi ni kijana ambaye ninandoto ya kufanya makubwa sana katika maisha yangu lakini hadi sasa ninakaribia miaka 30 halafu sijafanya chochote tofauti nakuwa mwaka wa mwisho wa...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Jamani wadau huu ushauri wa bure ukiona kama ukiwa na mpenzi wako kwa siku unatumia asilimia 75% kumuwaza yeye basi hilo ni tatizo kubwa sana yani sana. Utagunduaje kama unatumia 75% Kwanza...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Habarin za mchana waungwana, poleni na majukumu ya kujenga taifa letu pendwa la Tanzania. Niende kwenye mada husiku, nimekua mtumiaji wa mwendokasi mara nyingi ninapoenda kwenye mizunguko yangu...
7 Reactions
31 Replies
3K Views
Haya yote yanayoendelea ni kwa sababu ya huduma mbovu zinazoendelea kutolewa katika vituo vya mwendo kasi ,Hasa Kimara na Gerezani. Walioazisha huduma hii walikuwa na nia njema lakini hali si...
4 Reactions
102 Replies
12K Views
Habari wana JF, Nimekuwa mtumiaji mzuri wa mtandao wa Vodacom kwa zaidi ya miaka kadhaa sasa,hawakuwa na tabia ya kutuma meseji ovyo ovyo kila mara hasa za matangazo,sikatai meseji kwasababu ni...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Point yangu ni kwamba, kwakuwa Udart inaendeshwa na kampuni binafsi, hakuna sababu kwanini na wamiliki wengine wa daladala wasiombe na kupewa vibali vya kutumia njia ya mwendokasi. Hivyo abiria...
3 Reactions
15 Replies
2K Views
Ni kwa muda mrefu sana nimekuwa nikijiuliza hivi mababu zetu waliokuwepo kabla ya dini zetu kuu yaani ukristo na uislamu haujaingia nchini wataenda mbinguni? Maana kwa asilimia kubwa walikuwa...
5 Reactions
83 Replies
51K Views
Liu Ruopeng mwanafunzi wa PHD katika chuo kikuu cha duke 2006-2009. Liu inasemekana na alituhumiw kuwa aliiba teknolojia ya prof. Smith katika chuo kikuu cha Duke ambacho kimejikita ktk 'Meta...
4 Reactions
17 Replies
2K Views
Ili kupunguza ajali zitokanazo na uchakavu Ili kupunguza athari za kimazingira Ili kwenda na thamani ya miji yetu na afya zetu Ili kuongeza uwezekano wa uwekezaji ktk viwanda vya kuunganisha...
2 Reactions
32 Replies
3K Views
Mwanafunzi wa darasa la kwanza katika shule ya msingi Mwabasabi Mkoani Simiyu Susana Shija (9) amekutwa amekufa kwenye nyumba ambayo haijaisha huku baadhi ya viungo vya mwili wake vikiwa vimeondolewa.
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Biashara ya mabasi na/au malori ni ngumu na haiyumkiniki katika hali za kawaida haiwezekaniki kuwa na tija yoyote katika nchi kama za kwetu (hasa Tanzania). Mabasi au malori yanahitaji kuwapo kwa...
2 Reactions
39 Replies
4K Views
Dear President. I am extremely grateful to your government. It has been doing well, to say for many. I recall that some years ago I wrote a letter to you [through this media] that me and my...
2 Reactions
38 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…