Mainjinia tushauriane

Mainjinia tushauriane

goodhearted

JF-Expert Member
Joined
Feb 15, 2015
Posts
1,038
Reaction score
1,303
Nataka kuweka geti la kuslide(kusukuma). Geti limekamilika kutengenezwa. Bado kuliseti kwenye reli yake tu. Mafundi wanabishana mwingine anasema tuweke nondo ya mm 10 kwenye reli.

Mwenzake anasema haina umhimu wowote. Muuza vifaa vya ujenzi anasema ni muhimu sana kwa matumizi ya roller kudumu muda mrefu. Nisaidieni yupi yupo sahihi.

Kweli nondo ya mm 10 ni muhimu kwenye reli au vipi. Nipate pia uzoefu kwa wanaotumia mageti ya dizaini hii
 
Kwani geti ni upana gani na uzito gani?.Usije ukawa unasema mlango wa uwani ukaita geti.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom