Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Mkurugenzi wa utawala na udhibiti wa sportpesa Abass Tarimba(kulia) pamoja na Mtangazaji wa Kipindi cha shinda zaidi na SportPesa Happiness Wandela(kushoto) wakionyesha Jezi ya Simba kama...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Aliyewahi kuwa Diwani wa Magomeni kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) na mmiliki wa shule za Green Acres, Julian Bujugo amefariki dunia usiku wa kuamkia leo Oktoba 18, 2018 Fuatilia uzi huu kwa...
3 Reactions
54 Replies
15K Views
Hili ni swali la kujiuliza mara nyingi uwezavyo. Je, utakua tayari mwanao aoe mwanamke mwenye tabia kama zako? Au ungependa mwanao aolewe na mwanaume mwenye tabia kama zako? Jibu baki nalo...
0 Reactions
3 Replies
550 Views
Kuna ndugu yangu yuko geita anasema asubuhi ya leo saa tatu radi imeleta maafa kwenye shule ya EMACO English Medium School. hadi sasa watoto watano wamepoteza maisha. Poleni kwa wazazi, ndugu na...
3 Reactions
49 Replies
11K Views
Kwa nini kwenye kongamano za kiroho, Wengi wanaodondoka ni Wa kike? Ina maana wanaume hawanaga mapepo au hawapatwag na mapepo?
0 Reactions
3 Replies
846 Views
Habarini! Napenda kueleza kilichotokea huko mkoani Mtwara-Tandahimba,ni kuwa kijana mmoja baada ya kuambiwa na mama yake kuwa ana mimba na homa zinamsubua,huyo kijana akachukua uamuzi wa kuenda...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Habari wanaJF, Hujafa hujaumbika, sisi binadamu ukiwa mzima unashukuru MUNGU. Nina jirani yangu,mpangaji mwenzangu,tumekuwa pamoja kama mwaka hivi na urafiki wetu nikwasababu tunashare interest...
5 Reactions
22 Replies
3K Views
Tuwweni makini tunapoendesha vyombo vya moto, Maisha hayana bima. We only have one life..LET US CHERISH IT
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Hatimaye mtetezi kwa wanaume wa dar kapatikana..
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Habari,natafuta mtu atakaesafiri kuelekea Dar kutokea Arusha leo usiku au kesho asubuhi,mwenye pickup. Tutachangia mafuta ya watu wawili pia ntakua na kipuppy (mbwa mdogo)nataka nimsafirishe dar...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Habari zenu wakuu, Nimeitwa kwenye interview mamlaka ya chakula na dawa (TFDA), itakayofanyika kwenye ofisi zao. Naombeni kuuliza, ofisi zao zipo wapi? kwa hapa Dar es salaam kwa anaejua...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Mkuu wa Wilaya ya Kiteto, Mhandisi Tumain Magesa amesema elimu duni ya wananchi kuhusu uendeshaji wa Serikali vijijini ni chanzo cha matatizo yanayowakabili Akizungumza na wana-Kijiji cha Njoro...
0 Reactions
4 Replies
817 Views
Sababu ya mtandao, Dunia ni kama kijiji kimoja.Mtandao umekuwa kitu cha muhimu kwenye maisha ya watu wengi sana,mitandao inatufanya tuwasiliane kwa urahisi na ndugu jamaa na marafiki...
7 Reactions
15 Replies
3K Views
Wakili msomi, Edward Ole Lekaita ambaye pia ni mshauri wa mashirika yasiyo ya kiserikali mkoani Arusha, ameshauri elimu kwa vitendo itolewa zaidi shuleni ili wanafunzi waweze kuelewe kwa haraka...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kumeibuka hali ya sintofahamu, huko Muriet jijini Arusha ambapo kwa nyakati tofauti kuku wa rangi nyeupe watano wamebakwa na Binadamu na kupelekea viumbe hao kupoteza uhai. Diwani wa kata ya...
5 Reactions
93 Replies
10K Views
Nimesoma article ktk gazeti la uturuki yeni safak ikisifia KT Shop kisutu jinsi chai yake na vitafunwa vyake vilivokuwa bora, hakika mambo kama haya tourist board wayatumie ktk kuitangaza Tanzania...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wakili msomi, Edward Ole Lekaita ambaye pia ni mshauri wa mashirika yasiyo ya kiserikali mkoani Arusha, ameshauri elimu kwa vitendo itolewa zaidi shuleni ili wanafunzi waweze kuelewe kwa haraka...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Nadhani something fishy is going on asee ..... hoja zisizo za msingi zinalazimishwa sana si politics hadi bongo movie...... Ila kama tajiri namba moja hapatikani nani atapatikana?? HATUKO SALAMA...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Kwa hapa Mwanza nikifanya process za hii Electronic Passport nitaipata baada ya mda gani. Passport inahitajika kabla ya terehe 3 mwezi wa 11.
0 Reactions
37 Replies
12K Views
Salam. Vijana wa bodaboda ni vyanzo vizuri sana vya taarifa zilizo sahihi. Wanajua kila kitu kinachotokea kila siku iendayo kwa Mungu mtaani , Nani kafanya, kafanya nini , Kafanya na nani na...
4 Reactions
11 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…