Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Wazazi tumekuwa na uaminifu uliopitiliza kwa wadada wetu wa ndani katika kuwatoa watoto wetu nyumbani alfajiri na mapema kuwapeleka kwenye vituo vya school bus. Sijasema hatuko salama, ila hili...
11 Reactions
32 Replies
4K Views
Mkimaliza kupiga Kelele ya Kuomba kwa hali mbaya ya matukio ya Kiuhalifu mbalimbali yanayotokea nchini Tanzania waje ' Wachunguzi wa Kimataifa ' na Mimi GENTAMYCINE leo najitoa ' mhanga ' na...
3 Reactions
13 Replies
2K Views
Mwenyekiti wa Bodi ya wafanyabiashara Tanzania ni RAIS na mwenye dhamana ya kubatilisha umilikaji wa Ardhi Tanzania ni Rais! Tukiwa tumemsubiri IGP Sirro aje mbele ya Watanzania atueleze Mo yupo...
16 Reactions
27 Replies
4K Views
Mnaohoji kuhusu ruzuku ndani ya Chadema sasa kokotoeni bei ya hizo Ford Ranger zilizoingia na kodi zimelipiwa zote kikamilifu TRA wamelamba chao Sio kama Yale makontena ya bashite yanaingizwa...
14 Reactions
135 Replies
20K Views
Nimeangalia kipind cha kipima joto. Watu walioharikwa ni pamoja na ndugu Bujugo.wakati wa kuchangia, licha ya kuunga mkono mawazo ya Mbatia na vielelezo vyake mwisho amemsakama mama Ndalichako...
1 Reactions
34 Replies
7K Views
Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa tahadhari ya vipindi vya mvua kubwa vinavyotarajiwa katika msimu wa Novemba 2018 hadi Aprili 2019 katika kanda za magharibi, kati na nyanda za juu...
3 Reactions
35 Replies
9K Views
Kila nikisikia vijana wanafanya mahojiano na mtu yeyote mwenye mamlaka; huwa nakumbuka kauli hii ... isome " Elimu inayotolewa nchini ni elimu inayojenga uwoga na utiifu usiohoji hata masuala ya...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nimeota kuwa Tanzania itanyesha mvua kubwa itakayo haribu maeneo mengi sana. Nahisi huu ni mtazamo wangu kuwa Tanzania inatakiwa kujianda na mafuriko ya mvua ya hivi karibuni. Watanzania tuna...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habar za mida wana jf wote napenda kujielekeza moja kwa moja ktk swali langu la msingi mimi ni mtumiaji wa mtandao wa cm jina hapo juu kuna Kifurushi kipya nimekiona kweny menu za voda ila sjawai...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Naomba nianze kwa maskitiko nikiwa kama mwananchi au abiria,kinachoendelea IRINGA kinasikitisha.Bajaji zimezuiwa kupita barabara kuu,na zikionekana baadhi ya sehem zinakamatwa.Madereva wa haisi...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Je unataka kumaintain heshima katika jamii , KEEP DISTANCE. Nikimaanisha usiwe wewe unapatikana popote wakati wote na kwa watu wote.. Distance ndiyo inatengeneza hadhi ya Mtu, usiwe mtu wa...
14 Reactions
26 Replies
7K Views
Kwanini vijana wa Afrika_Tanzania ni tegemezi na wapumbavu zaidi duniani? Kila kijana anataka kucheza mchezo wa kubahatishia na kubashiri ili atoke kimaisha nchiya Tanzania inapokwenda kama...
4 Reactions
63 Replies
7K Views
Aisee kuna vitu vinachekesha hapa nchini Mkurugenzi Wa TBC ujitafakari hata kama ni kituo cha serikali lakini naona imekua too much Kila muda asubuhi mpaka usiku ni mapambio tu ya kumsifu mkulu...
15 Reactions
37 Replies
4K Views
Mbeya kuna maajabu hapa angalia ardhi inayonesa
2 Reactions
28 Replies
6K Views
Habari ya leo watanzania. Nina andika hoja hii kwa kuangalia mijadala mbalimbali na namna watu tunajenga hoja kuhusu kutatua jambo fulani la kijamii. Mtizamo wangu, ni kuwa tumekuwa watu wa...
0 Reactions
1 Replies
564 Views
Mwenye kufahamu namba za simu ya mkononi ofisi ya kampuni Dar lux, mwanza anisaidie tafadhali atabarikiwa na Bwana.
0 Reactions
14 Replies
7K Views
Mzuqa Tumesikia kusoma na kuona hasa kwa watoto wa kiume wengi walio karibu sana na baba zao wanakula shavu. Mifano hai ni kwenye Bibilia takatifu Yusufu mwana wa Yakobo. Mfalme Daudi. Hata...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Nataka kuoa barmed je,nitadumu nae? - JamiiForums Nataka kuoa barmed je,nitadumu nae?
0 Reactions
5 Replies
979 Views
Mtandao gani wa kijamii unatumia sana au huwezi kupitisha hata siku moja bila Ku login? Kwanini unatumia sana huo mtandao? 1. Instagram 2. Twitter 3. Facebook 4. Others
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…