Aisee sijawai kuona kampuni ya usafiri wa anga ya hovyo kupata kutokea duniani kama hii.
Hii kampuni kwanza customer care yao ni mbovu bora hata shabiby hawa jamaa unaweza kupiga simu wiki nzima...
Mimi ni mkazi wa Ubungo Riverside, eneo maarufu kama Kwa Novo. Kwa takribani miezi saba sasa, maji ya DAWASA hayatoki kabisa, jambo ambalo limeleta adha kubwa kwa wakazi wa eneo hili. Kwa sasa...
Member wa JamiiForums wote nawasalimu kwa jina la Yesu Kristo aliekufa msalabani kwa ajili ya uovu wangu.
Leo nimependa kushare kidogo kuhusu historia ya maisha yangu inaweza kuwa funzo kwa...
Ni wiki ya pili sasa wananchi wa Mtaa wa Vibura, Kata ya Vikundi-Kisemvule, Wilaya ya Mkuranga Mkoa wa Pwani tukiwa katika hali ya taharuki kubwa baada ya kupokea taarifa kutoka kwa watu waliokuja...
Tanzania inaendeleza nishati ya nyuklia kama sehemu ya mkakati wake wa muda mrefu wa kubadilisha vyanzo vya nishati na kuunga mkono ukuaji endelevu wa uchumi. Ili kuongoza juhudi hizi, tumeandaa...
Yote yaliyosemwa hapa yamenitokea na yanaendelea pia kunitokea kila Siku kwani nina Shuhuda za kutosha.
Asante sana Mwenyezi Mungu kwa hii Tunu yako kubwa ambayo uliichagua iwe ndani yangu Mimi...
Nchi wazalishaji wakubwa wa kondomu(Malaysia na Thailand) zinapanga kuongeza bei ya kondomu kwa asilimia 20-30 sababu ya kupanda kwa bei za uzalishaji(mafuta). Gloves nazo zitapanda sababu...
Amani na iwe kwenu.
Hakuna mtu awezaye kumtumikia Mungu pasipo kusimama kinyume na nguvu za giza. Kama ilivyokuwa kwa vizazi vilivyopita, shetani anaendelea kutenda kazi kupitia makanisa. Shetani...
Nyota wa zamani wa Man U na team ya Taifa England yupo Tanzania Kwa ziara ya siku mbili, na kesho anatarajiwa kufika Dodoma Bungeni
Ujio wake tulitegemea awe balozi wa utalii na michezo
Ila...
1. Kikawaida Wanawake Wazuri na Wife materials huolewa kabla ya miaka 25. Hilo ni Jambo la kawaida kabisa.
2. Wazazi wengi hutaka mabinti zao waolewe wakiwa na miaka Chini ya 25.
Kutokana na...
Watu wamejitokeza kwa wingi lakini wananipa mashaka kama wameenda kwa hiyari yao au wamekusanywa kwa malipo.
Rio Ferdinand alishastaafu mpira miaka hiyo. Hakuwa na ushawishi mkubwa sana...
Hbr za muda wakuu wangu ! ...ni kweli nimeadimika sana humu ndani ila tupo pamoja ni majukumu ya kitaifa na shughuli zangu binafsi vinanibana sana hadi kukosa muda wa kuja kuwatembelea na kuwa...
Elimu ya masters inakuweka mahali pazuri kuwa na power kubwa zaidi kama uwaziri, (POWER)
kwenye biashara elimu inaweza kukusaidia mambo ya investments, Tender, international trade, n.k. (MONEY)
Hawa ndio wanawaongoza tangu vikiwa vibinti vibichi.
Wanawafundisha yale waliyo yaona katika video za pilau yani namaanisha wanafanya fantasies zao kwa hawa mabinti wadogo kwa kuwa lainisha na...
Kampuni ya Samsung inajua kumpa Mwanaume bidhaa anayotaka sio kama wale jamaa flani wanaotengeneza simu zilizopambwa kama za kike
Simu ina shine nje na ndani utafkiri imepakwa siagi
Mwanaume na...
Kwa mtindo huu siku ICC ikitaka kuja kwa nguvu na hisi mtatoa pesa yote kuwaleta wasanii wote billboard na mataifa mengine.
Leo Kahama naelezwa walipoona mwendo wa watu kuwepo kwenye mkutano...
Wandishi wa Habari wametakiwa kuzitumia Tafiti wakati wanapoandika habari zao, ili kuibua changamoto zinazoikabili jamii na kupatikana kwa ufumbuzi wa jambo husika.
Ushauri huo umetolewa na...
Hivi kuna kitu gani behind ajira.? unakuta mtu analipwa 800k kwa mwezi lakini anamaisha magumu ndy nn sasa.?
Alie na ufafanuzi mzuri anieleweshe... si kwa miezi miwili tu hapo unakua na 1.6M +...