Kutokana na lawama nyingi ambazo watu huzisema kwa waandishi Wa habari wetu kwamba: Baadhi yao huwa wanauliza maswali yasiyo na tija Pindi wanaPokutana na Viongozi mbalimbali;
Kwenye Press ya Leo ya IGP na waandishi hawa, Pamoja na kwamba maswali mengine WATAYAPATA Pale, lakini kwakuwa yote ni kuhusu Ulinzi na Usalama wa raia na Amani ya nchi yetu!
Naomba Tuweke HAPA maswali ya msingi ili wayachukue wakaulize kwa namna watakavyoyaboresha wao!.
maswali yangu;
Mengine ongezeeni wenyewe

- Kutokana matukio ya utekaji kuchukua mda mrefu yakiwa yanajirudia rudia bila wahusika KUPATIKANA Je; Selikali inaweza kutuambia kupitia kauli yako IGP nini faida na hasara za kukataa kuita wachunguzi kutoka nje?
- kuPitia msemaji Wa Polisi alinukuliwa akisema kwamba wewe IGP ulisikitishwa na kitendo cha yule afisa Wa jeshi kutumia kauli ya "KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI; Je: kwanini ulisikitika na hatua gani zimechukuliwa hadi sasa?
Mengine ongezeeni wenyewe