Suleiman755
JF-Expert Member
- Apr 1, 2018
- 274
- 209
Tafadhali kichwa cha habari hapo juu kinahusu wito kwenu Tricode Online Tv .
Kazi zenu za maswala ya conspiracies na mambo mengine ya uelewa wa dunia ya ndani(deep world) kwa kiasi fulani zinaelimisha na kuburudisha pia.
Wiki iliyopita limetokea jambo la kutekwa mtanzania maarufu kama Mo na leo kapatikana. Habari yake ilifunika habari nyingine nyingi sana ikiwemo ya kifo ama msiba wa mtoto wa Mwalimu wa dini maarufu Christopher Mwakasege. Kifo cha kijana Joshua Mwakasege wengi wamekihusisha na maswala fulani na kuddai kuwa sio cha kawaida na cha ajabu kilitokea siku moja alipotekwa Mo na alizikwa kwao Tukuyu Alhamisi 18/10/2018 na mara baada ya kuzikwa Mo kapatikana kwa hiyo ni story iliyofunikwa na tukio la utekwaji.
Mkiwa mabingwa wa habari za namna hiyo bila kumuonea aibu mtu hebu jikiteni kwenye uchunguzi mkafukue kaburi la huyo kijana na kutuletea yote yaliyonyuma ya pazia ili msiba na maisha yake yasipite hivihivi bali iwe na manufaa kwa wengi waliobaki kama funzo la kimaisha.maana cha ajabu hata pale mbezi beach kkkt ibada ile alikuwepo Tulia akson, Lowasa, Mbowe, mama Janeth na wazito wengi tu lakini hata clip yake ya dakika 10 tu haipo mtandaoni! Huku tunaona watu wengine misiba yao ni midogo tu lakini hupata online coverage.
Tutengenezeeni you tube iyoshiba muilete hapa tafadhali. Yenye uchunguzi wa kina.
Nawakulisha.