MO Dewji punguza tamaa, kila biashara unataka ufanye wewe!

Biashara huria hii mkuu, kikubwa unatakiwa uangalie namna gani unaweza ukashirikiana nae, ukiangalia supermarket kubwa unaweza kusema vyote vinavyouzwa mle ni vya mmilki wa supermarket kumbe mle ndan kuna vikampuni vidogo vidogo vinakatwa commission kutokana na mauzo ya bidhaa zao
 
mimi ananishangaza sana anapojitapa kwenye mitandao ya kijamii na kujipa promo mwenyewe kwa kujiita Bilionea namba moja Afrika, mbona kuna watu wana pesa zao za maana wamekula buyu tu, wapo akina mzee wetu Mengi, Barhesa n.k
 
mengi mbona itv hawajalipwa hadi leo si awakopeshe?
 
mimi ananishangaza sana anapojitapa kwenye mitandao ya kijamii na kujipa promo mwenyewe kwa kujiita Bilionea namba moja Afrika, mbona kuna watu wana pesa zao za maana wamekula buyu tu, wapo akina mzee wetu Mengi, Barhesa n.k
Hawamfikii hao uliowataja,ndo ujiulize anayo kiasi gani $$$$
 
Back
Top Bottom