Mzuqa
Watu wanadai watekaji walimpiga stopu kuwawakilisha kama msemaji wao mara tu alipotaka kuunguza script masaa machache MO baada ya MO kutekwa.
Walimuona liropokaji na domo lake lilivyo zito...
HATIMAYE changamoto ya usafiri katika Jiji la Dar es Salaam imepatiwa suluhu baada ya kujitokeza kwa mwekezaji mwingine katika mradi wa mabasi yaendayo haraka, maarufu mwendokasi.
Mwekezaji mpya...
Kazi kweli kweli!!!
Lakini kuna dhana kuwa no one is above the law even the President! Wahojiane tu! Lakini katika mahakama ya wananchi tushaajua wasiojulikana!! Maana Ukinusurika au ukiwawahi na...
Kwa sababu hatujui kesho tutakutana na nani basi fanya wema kwa yeyote bila kujali cheo chake, rangi, kabila na hata dini.
Imepita kama mwezi hivi Siku Moja niko maeneo flani natembea nikaiona...
.Junker: Ushirikiano mpya wa AU na EU kubuni nafasi milioni 10 za ajira
Rais wa Kamisheni ya Umoja wa Ulaya amesema EU inapania kuzindua ushirikiano mpya kati yake na Umoja wa Afrika...
Uongozi wa Benki ya Maendeleo ya Kilimo (TADB) unamdharau Mkuu wa nchi! Mwezi Juni, 2018 wakati wa uzinduzi wa Programu ya Kuendeleza Sekta ya Kilimo awamu ya pili (SADP II), jijini Dar es Salaam...
Kuna best yangu kaniuliza ila nikawa sina jibu la uhakika la kumpatia.katika maombi ya kuomba rehema kwa Mungu ni lazima uwekewe mkono kichwan na pastor au waweza jiombea mwenye na Mungu...
Ofisi ya NSSF wilaya ya Masasi utendaji wao wa kazi hauridhishi kwani ukiuliza taarifa zako kama mwanachama wao huja juu kwa kufokafoka na kutoa visingizio visivyo na pia kusingizia taarifa kuwepo...
leo asubuhi mida ya saa 12 na nusu nimekuta zogo kubwa kweli kuhusiana na mchango wa kununua umeme kwenye nyumba moja, si unajua nyumba zenye wapangaji wengi. jamaa walikuwa wanakoromeana ile...
UELEWA mdogo katika masuala ya kodi umetajwa kuchangia kwa kiasi kikubwa wafanyabiashara wengi kuona ulipaji kodi ni mzigo. Akizungumza wakati wa semina iliyoandaliwa na Benki ya NBC kwa...
Ninapoongea mpaka sasa mamba kaleta madhara makubwa ndani ya nyumba !!! Mama moja jirani alisikika akisema mwenye nyumba alikaleta ka mjusi na kuanza kukafuga kiukweli kalikuwa ka mjusi ila kadri...
Yule kamanda wa Polisi aliyeshitakiwa katika kesi ya kuwauwa wachimba madini ya rubi wa Morogoro akiitwa Abdalla Zombe yuko wapi baada ya kushinda kesi ?
Aliisha lipwa mamillioni yake? Nakumbuka...
Mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Udaktari cha Imtu, Daniel Mabisi (28) anadaiwa kujinyonga kutokana na kufeli mitihani.
Mabisi ambaye ni mkazi wa mtaa wa Mgeninani, Kata ya Kijichi wilayani anadaiwa...
Mzee rungwe Kwa masikitiko anaeleza kuwa binti yake Na mkwee walitekwa. Lakini watekaji awakutaka chochote toka kwake .walikaa Na mwanae wiki kisha kumtupa usiku mitaa ya sinza .pia mkwee walikaa...
Miaka ya zamani ilikuwa watu wanakufa saana kutokana na hii issue ya mumiani yani ukamataji na unyonyaji damu hadi kufa
Miaka ya hivi karibuni kampeni za kuchangia damu kwa hiari zilipoanza hili...
INASEMEKANA
Pato lao kwa siku Ni zaidi ya million 75 tsh.
Kusanyo la kituo cha kimara peke yake Ni zaidi ya Tsh 35 million.
Mwendokasi ulipa Kodi ya barabara ya Tsh million 9 kwa serikali kila...
Mbunge wa Mbeya Mjini, Mhe. Joseph Mbilinyi a.k.a Sugu ametangaza dau la Tsh Milioni 1 kwa mtu yeyote atakayempatia picha yake akiwa amevalia sare za Gerezani kipindi alivyokuwa amefungwa.
Sugu...
Miongoni mwa watu bilioni 1.3 wanaoishi katika aina mbalimbali za umaskini kote duniani, milioni 560 wapo barani Africa.
Soma ripoti mpya ya @undp na @ophi_oxford: The 2018 Global Multidimensional...
Miaka hiyooi mjomba alimiliki Land Rover 109 kule kijijini. Aliuziwa na mzungu mmoja aliyekuwa anarudi kwao Ulaya. Ile gari ilimfanya mjomba awe kama mfalme pale kijijini. Asubuhi wenye mizigo ya...