Akitangaza matokeo hayo, Katibu Mkuu wa Baraza hilo, Dkt. Charles Msonde, amesema katika tathmini ya awali kiwango cha ufaulu kimepanda kwa asilimia 4.9% ikilinganishwa na 2017, amesema pia...
Wakuu naona tokea jana hali ya hewa ya Dar imebadilika gafla na kuwa kama Moscow Russia
Mliopo dar hebu tujuzane pande mlizopo hali ya hewa ipo vipi bila kuwasahau wa mikoani pia.
Kuna eneo letu hapa Bagamoyo lilipata mradi wa REA ambapo waya na transformer ziko tayari,na Naibu waziri alifika eneo la mradi na kuahidi umeme utawashwa mapema.
Sasa yapata miezi 10 ila umeme...
Igwee! Nilirejea siku chache zilizopita, sikuwa mbali Sana niliingia ingia nakutoka.
Lakini sitasahau wakati flani baada ya kutoka ku sign out narudi Hamad !!! Jf ilifungwa...niliumia Sana...
Mahakama ya Hakimu Makazi Kisutu imeamuru kukamatwa kwa MC Anthony Luvanda, kwa kusafiri kwenda China kinyume na masharti ya dhamana. MC Luvanda aliwekewa sharti la kutosafiri katika kesi ya...
Mahakama ya Kisutu imeamuru kukamatwa kwa MC Anthony Luvanda maarufu MC Luvanda kwa kusafiri kwenda China kinyume na zuio la Mahakama la kutosafiri
Mshereheshaji huyo maarufu yuko nje kwa dhamana...
Eti wataalamu wa kula mitaani/migahawani,kuna ukweli wowote juu ya hili kuwa ukiona sehemu traffic wanakula ujue hapo kuna msosi mzuri,kuna yeyote analijua hili,maana kuna sehemu hawa mavazi meupe...
habari wadau..
nimeguswa sana na ajali iliyoua watu watano singida..
gari za serikali zinaua sana watumshi wake..
najua wengi tunasema siku zimefika.. au Mungu amependa..
ila hatujiulizi why...
October 23, 2018
Arusha, Tanzania
Kampuni ya Tanzanite Forever Lapidary imeanzisha kiwanda cha kuongeza thamani ya madini ya tanzanite nchini Tanzania na tayari kimeanza kazi ya kukata na...
Habar za midaa
Kumekuwa na hali ya mvumo mkubwa Wa upepo siku mbili hizi hasa ktk jiji LA mwanza
Jana sijalala kabisa nilkuwa nahofia kibanda changu kuezuliwa paaa
Je huu upepo una ashiria nini...
Mkandarasi hewa wa Shirika la Umeme nchini (Tanesco), anadaiwa kukusanya zaidi ya Sh milioni 24.6 kutoka kwa wananchi 22 wa Kijiji cha Manyire, Kata ya Mlangarini wilayani Arumeru mkoani Arusha...
Hassan Aboud Talib maarufu Kiringo aliyekuwa anashikiliwa na polisi kwa tuhuma za kumlawiti kijana wa kiume ameachiwa huru kwa dhamana huku jeshi la polisi likiendelea na uchunguzi.
Kamanda wa...
Mada ihusuyo yajieleza na kujipambanua. Hii status nimeisikia kitambo kidogo lakini najiona kama hainihusu hii taito. Huwenda nikawa najidanganya.
Sifa za kuwa danga wandugu ni zipi,unatakiwa uwe...
Habarini za jion great thinkers
Kwa takribani wiki mbili hizi vyombo vya habari vimelisema sana suala la mwandishi Jamal khashoggi kuuwa kikatili ndani ya ubalozi wa saudi arabia nchini uturuki...
Kuna mtu mmoja anaitwa Donald Rumsfeld aliwahi kusema:
"Kuna mambo tunayojua kwamba tunajua.
Halafu kuna mambo ambayo tunajua kwamba hatujui.
Lakini pia kuna mambo ambayo hatujui kwamba...
Habari za mchana wadau wa jf dimbwi la maarifa.
Ninafanya kazi sekta binafsi,nimechukua likizo ya bila malipo sasa ni mwezi mmoja toka October,silipwi mshahara wala chochote kwenye akaunti yangu...
Kila siku utasikia watu wengi wakiongelea kuwa IQ ya watanzania ni ndogo - iko kwenye asilimia 70. Ufafanuzi uko hivi: ni kutokana na matendo ya walio wengi kutotenda kwa sababu sahihi.
ONA...