Ni watoto wa familia moja na miili yao imekutwa imetelekezwa kichakani katika kijiji cha Mashule wilayani Bukoba Mkoani Kagera
Majina ya watoto hao ni Auson Respikius(7) na Alistidia Respikius(5)...
Za jion,kama kawaida nmetoka zangu job mda huu huu,..nkasema nipite mwenge sokon kule,kununua mazaga
Sasa jamaa kiroho safi nkampa kikaratas cha vitu halaf mi nkarud zangu,kwamba yeye ndo aweke...
Hauruhusiwi kumshika na hata akisalimiana na Binadamu anatumia ,,gloves” maalumu, sababu ni kwamba yeye ni Mungu au ni muwakikishi wa Mungu, Malkia Elizabeti ndiye Mkuu wa Kanisa la Uingereza au...
Mzuqa,
Nilicheka sana leo braza tatum alipoleta uz wa korosho.
Wakulima wa korosho huko kusini wamesusia mnada kwasababu bei ya korosho kwa kilo imeshuka kutoka 4000 hadi 2100.
Kabla ya hapo...
UTAFITI umebaini kuwa wananchi wa Rwanda wataendelea kuongoza katika kuishi miaka mingi katika nchi za Afrika Mashariki mpaka 2040 na kufuatiwa na wananchi wa Kenya.
Mabadiliko hayo yanatokana na...
Mwenye kujua nauli ya kutoka Morogoro mjini kwenda chuo cha kilimo na utafiti Kilombero ni shilingi ngapi anifahamishe. Pia mabasi yanayokwenda Ifakara Kilombero toka Morogoro. Nitashukuru sana
Tanzania’s mining sector is booming, and Minexpo, the premier international trade exhibition on mining is promoting the East African market to the world. The 4th Minexpo is next scheduled to make...
Naandika huu ujumbe uwafikie Mamlaka ya Mapato Tanzania - TRA na Mamlaka ya Bandari Tanzania - TPA.
Hizi mamlaka mbili ndio nguzo kuu za kufanikisha International business hasa katika uingizija...
Mkuu wa mkoa wa Mtwara Gellasius Byakanwa amewapongeza wakulima wa Korosho kwa kugoma kuuza Korosho kwenye mnada wa zao hilo.
Amesema hatua hiyo ni nzuri kwani wamesimamia ipasavyo thamani ya zao...
Habari zenu wakuu wote, leo pita pita yangu na biashara mtaa kwa mtaa, leo nmekwenda maeneo ya tandale kwa mtogole,
Hakika leo biashara yangu imekwenda sivyo kutokana na wateja wangu kila...
Wakuu nimepita mida hii maeneo ya Mlandizi,kuna ajali mbaya sana imetokea..limegonga wanafunzi wawili ,mmoja kafariki apo apo na Dereva kakimbizwa hospitali. Picha sijafanikiwa ila naamini...
Menopause ya wanaume ama kama inavyoitwa kitaalam, ANDROPAUSE inatokana na mabadiliko ya viwango vya homoni kunakotokana na mabadiliko ya umri wa mwanaume. Hii hupelekea kushuka kwa uzalishaji wa...
Uanaume wa Dar ni kupost neno "umama" mtandaoni huku umesahau kama nawe umezaliwa na mama,baada ya siku mbili unaanzisha msemo mwingine "unakufa" na wanaume wenzako wa Dar wanaushadadia na...
Shule hizi mbili ziko kata ya kunduchi katika jimbo la Kawe, Feza boys ni private na Kondo ni ya wananchi. Shule ukiziangalia huwezi kuamini kwamba wanapohitimu wanafanya mtihani mmoja!..... Yaani...
Mimi binafsi nilijihisi niko matawi ya juu sanaaaaa.
Wale wa shule za binafsi nilikuwa nikiwaona ni miongoni ya wanafunzi waliofeli mtihani wa kuhitimu darasa la 7 ndio hupelekwa huko kuendelea...