Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kinacchoendelea mda huu hapa mbezi kituon nashauri serikali muangalie njiambadala Kkila gari inakaguliwa getini kama wanadaiwa halihii imeleta foleni ziaizo na lazima Mtu kukaaa kituoni dk 15...
0 Reactions
0 Replies
607 Views
Mh. Zitto Kabwe, katika ukurasa wake wa Twitter aliamua kutoa povu nae kupunguza sumu mwilini kwa kutoa mtazamo wake juu ya swala la kutekwa kwa mfanyabiashara maarufu barani Africa, Mohamed Dewj...
9 Reactions
57 Replies
14K Views
Naomba kujua kama unaweza kwenda Ifakara tokea Morogoro na kurudi siku hiyo hiyo Morogoro ie Morogor-Ifakara-morogoro same day kama nikitoka Morogoro na mabasi ya asubuhi na mapema.
0 Reactions
14 Replies
6K Views
Mamlaka ya Usimamizi Usafiri wa Majini na Nchi Kavu (SUMATRA) imezitangaza ruti mpya za kufika Mloganzila Wakazi wa Jiji la Dar wataweza kutoka Kawe - Mloganzila kupitia barabara ya Sam Nujoma na...
2 Reactions
23 Replies
9K Views
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Joyce Ndalichako, ameagiza wanafunzi 682 walioondolewa katika usajili wa chuo Kikuu cha Dar es Salaam kurudishwa. Akizungumza jijini Dar es Salaam...
3 Reactions
35 Replies
9K Views
Maisha visiwani yana uzuri na changamoto zake. Moja ya changamoto hizo ni kupata huduma za afya ukizingatia kuwa usafiri na ukosefu wa miundo mbinu ni vikwazo. Umra Omar...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Mara baada ya maafisa waandamizi kuhamia Dodoma kumekuwa na mtindo mpya wa uendeshaji magari barabarani. Kila gari ya serikali itokayo Dodoma kwenda nje ya mkoa huwasha taa na kukimbia kwa mwendo...
8 Reactions
50 Replies
8K Views
Elimu yetu kila kukicha inazidi kuzama na kuzalisha wajinga zaidi,watoto vilaza Siku hizi hadi watoto wasiojua kusoma utasikia wamefaulu kwa kishindo mtihani wa darasa la 7,wakifika sekondari...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Inasemekana kwamba Watu wengi wenye kutoa ' Ushauri ' mzuri au Wale watoa ' Ushauri ' mzuri kwa Wenzao wengi wao ( tena kwa 100% ) wao ndiyo huwa na ' matatizo ' makubwa sana katika mfumo wao...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
akiongea na kipindi cha XXL, siku ya jumatatu iliyopita ambayo ilikuwa ni kumbukumbu ya miaka mitatu toka kifo cha Deo Filikunjombe. Zitto alisema kuwa kwanza hadi sasa haamini kuwa Deo alifariki...
5 Reactions
21 Replies
4K Views
Habari zenu wakuu. Nilikuwa nauliza kama mfanyakazi wa tanesco akiwa anaumwa mwezi mzima kiasi cha kushindwa kufanya kazi na huku akiwa na ruhusa ya ofisi, je mshahara wake utakuwepo pale pale au...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
MAWAKALA 23 wa bidhaa za vyakula wakiwamo wafanyakazi wa Mji wa Kahama wanashikiliwa na polisi wakidaiwa kusamnbaza na kuuaza bidhaa zinazodaiwa kuchakachuliwa ujazo. Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga...
1 Reactions
5 Replies
3K Views
UNYANYAAPA NA UKATILI WAKIJINSIA KWA WANAWAKE NA BADO NI VIKWAZO VIKUBWA KATIKA KUPAMBANA NA MAAMBUKIZI L YA VIRUSI VYA UKIMWI: 25/10/2018 Katika huduma yangu ya counselling nimekuwa nikikutana na...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Aliyeongoza darasa la saba kitaifa alisimamishwa shule miezi mitatu wakati sera ya taifa ya elimu ni Darasa la kwanza mpaka formfour ni bure wala michango hairuhusiwi sasa huyu mtoto alikuwa...
0 Reactions
13 Replies
4K Views
Armed robbers walk into a shop. The owner asks them to come back later when he has more money, and when they do... It feels like the makings of a joke, but for a Belgian e-cigarette shop owner...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Wakuu habari za usiku? Naomba msaada ni wapi nitapata mafunzo ya kutumia bunduki maana natarajia kuomba kibali cha umiliki. Hii ni baada ya kusikoa ushauri wa Kamanda Siro hivi karibuni...
1 Reactions
16 Replies
7K Views
*Vigezo vilivyokuwezesha wewe ukapata kazi, ndivyo vigezo alivyonavyo mwenzako lakini akakosa kazi.* *Dua uliyomuomba Allah na ukajibiwa ni hiyo hiyo anayoiomba mwenzako lakini hajajibiwa.*...
4 Reactions
3 Replies
780 Views
Serikali ya CCM inaendelea kuboresha maisha ya watanzania kwa kuweka umeme vijijini na mjini. Mwenye Macho hambiwiii Tazama ! Umeme Vijijini hauchagui Aina ya Nyumba ! Tunaamini Uwepo wa Umeme...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Yasemekana ni sababu ya kutokukubaliana kwenye mazungumzo ya kimkataba licha ya wizara husika kuingilia kati,, the saga continue,, pamoja na yote haya waziri mawasiliano na uchukuzi bado yuko...
5 Reactions
37 Replies
10K Views
Amesema Kwamba Katibu Mkuu wa ccm hakukataa wasanii kutumika kwenye Majukwaa ya kampeni za ccm , BALI ALINUKULIWA VIBAYA. Hivi wakuu ni kweli kwamba Bashiru Ally alinukuliwa vibaya ?
4 Reactions
44 Replies
7K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…