Mambosasa, trafiki wanatutesa abiria kituo cha Mbezi mwisho

Mambosasa, trafiki wanatutesa abiria kituo cha Mbezi mwisho

Pdidy

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
62,336
Reaction score
38,700
Kinacchoendelea mda huu hapa mbezi kituon nashauri serikali muangalie njiambadala

Kkila gari inakaguliwa getini kama wanadaiwa halihii imeleta foleni ziaizo na lazima

Mtu kukaaa kituoni dk 15 aipendezi wapendwa tuangalie njia gani kupokea hizi faini wananchi wasiteseke
 
Back
Top Bottom