SUMATRA waboresha ruti kufika Mloganzila

Kurzweil

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2011
Posts
6,622
Reaction score
8,427
index.jpg

Mamlaka ya Usimamizi Usafiri wa Majini na Nchi Kavu (SUMATRA) imezitangaza ruti mpya za kufika Mloganzila

Wakazi wa Jiji la Dar wataweza kutoka Kawe - Mloganzila kupitia barabara ya Sam Nujoma na Morogoro

Pia Kawe - Mloganzila kupitia barabara ya Bagamoyo na Goba

Makumbusho - Mloganzila kupitia barabara ya Sam Nujoma na Morogoro

Makumbusho - Mloganzila kupitia barabara ya Bagamoyo na Goba

Aidha zitakuwepo Daladala za kutoka Mloganzila - Tegeta Nyuki kupitia Goba, Madale na Wazo Hill

Daladala nyingine zitatumia barabara ya Bagamoyo kupitia Masana zikifanya ruti ya Tegeta Nyuki - Mloganzila

Tabata Kimanga - Mloganzila kupitia Maramba Mawili
 
Buza Mloganzila Via Nyerere Road,Maramba Mawili,Morogoro Road
 
Hiyo kamba kutoka Kibamba hadi uikute Mbezi mwisho!! Hususani mida ya jioni mbona wa kutoka Mikoani tutakoma!
 
Ziwekwe Na hizi
Gongolamboto mloganzila,kibaha mloganzila,Ferry Mlongazila,Kariakoo mlongazila,Mbagala mlongazila,Temeke Mlongazila,Tandika Mlongazila,Msasani Mlongazila,Mburahati Mlongazila,Manzese Mlongazila,Buguruni Mlongazila,Tabata mlongazila
kweli mkuu itakua poa sana
 
Mamlaka ya Usimamizi Usafiri wa Majini na Nchi Kavu (SUMATRA) imezitangaza ruti mpya za kufika Mloganzila

Wakazi wa Jiji la Dar wataweza kutoka Kawe - Mloganzila kupitia barabara ya Sam Nujoma na Morogoro

Pia Kawe - Mloganzila kupitia barabara ya Bagamoyo na Goba

Makumbusho - Mloganzila kupitia barabara ya Sam Nujoma na Morogoro

Makumbusho - Mloganzila kupitia barabara ya Bagamoyo na Goba

Aidha zitakuwepo Daladala za kutoka Mloganzila - Tegeta Nyuki kupitia Goba, Madale na Wazo Hill

Daladala nyingine zitatumia barabara ya Bagamoyo kupitia Masana zikifanya ruti ya Tegeta Nyuki - Mloganzila

Tabata Kimanga - Mloganzila kupitia Maramba Mawili

Vp bule? Nauli je
 
Back
Top Bottom