Sigara Kali
JF-Expert Member
- May 28, 2017
- 3,731
- 8,825
Elimu yetu kila kukicha inazidi kuzama na kuzalisha wajinga zaidi,watoto vilaza
Siku hizi hadi watoto wasiojua kusoma utasikia wamefaulu kwa kishindo mtihani wa darasa la 7,wakifika sekondari majanga baada ya kukaa darasani kwa miaka 4 wanaondoka na sifuri
Siku hizi mtoto hadi anafika darasa LA 5 hajui kusoma na kuandika vizuri,mtoto huyu ataingia darasa la 7 na utasikia kafaulu
Miaka ya nyuma matokeo yalikua yanatupa presha kweli kweli kwa sababu elimu ilikua na uimara wake,wanafunzi walifundishwa vizuri na walikua na juhudi ya kusoma,walikua na nidhamu na kuwatii walimu wao
Lakini sio siku hizi watoto hawana adabu,kichwani hakuna kitu,kusoma hawajui wala kuandika lakini mwisho wa siku utasikia wamefaulu
Kipindi cha utawala wa awamu hii ya 5 hali naona imekua mbaya zaidi watoto wanafaulishwa tu wakati kichwani hawana kitu wanamaliza form 4 wanaambulia zero na kuingia mtaani kuwa vibaka,mateja,wavuta bangi,kipindi cha uchaguzi wakipewa pombe na tuhela tudogo wanasahau yote na kuwachagua walewale waliowajengea msingi mbovu na kushindwa kuwaondolea ujinga
Kiufupi elimu ya siku hizi ni ovyo tupu na kama wazazi tusifurahie sana haya matokeo ya ufaulu wa kupika watoto wengi ni vilaza mnooo.