Mara baada ya maafisa waandamizi kuhamia Dodoma kumekuwa na mtindo mpya wa uendeshaji magari barabarani. Kila gari ya serikali itokayo Dodoma kwenda nje ya mkoa huwasha taa na kukimbia kwa mwendo...
Elimu yetu kila kukicha inazidi kuzama na kuzalisha wajinga zaidi,watoto vilaza
Siku hizi hadi watoto wasiojua kusoma utasikia wamefaulu kwa kishindo mtihani wa darasa la 7,wakifika sekondari...
Inasemekana kwamba Watu wengi wenye kutoa ' Ushauri ' mzuri au Wale watoa ' Ushauri ' mzuri kwa Wenzao wengi wao ( tena kwa 100% ) wao ndiyo huwa na ' matatizo ' makubwa sana katika mfumo wao...
akiongea na kipindi cha XXL, siku ya jumatatu iliyopita ambayo ilikuwa ni kumbukumbu ya miaka mitatu toka kifo cha Deo Filikunjombe. Zitto alisema kuwa kwanza hadi sasa haamini kuwa Deo alifariki...
Habari zenu wakuu. Nilikuwa nauliza kama mfanyakazi wa tanesco akiwa anaumwa mwezi mzima kiasi cha kushindwa kufanya kazi na huku akiwa na ruhusa ya ofisi, je mshahara wake utakuwepo pale pale au...
MAWAKALA 23 wa bidhaa za vyakula wakiwamo wafanyakazi wa Mji wa Kahama wanashikiliwa na polisi wakidaiwa kusamnbaza na kuuaza bidhaa zinazodaiwa kuchakachuliwa ujazo.
Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga...
UNYANYAAPA NA UKATILI WAKIJINSIA KWA WANAWAKE NA BADO NI VIKWAZO VIKUBWA KATIKA KUPAMBANA NA MAAMBUKIZI L
YA VIRUSI VYA UKIMWI:
25/10/2018
Katika huduma yangu ya counselling nimekuwa nikikutana na...
Aliyeongoza darasa la saba kitaifa alisimamishwa shule miezi mitatu wakati sera ya taifa ya elimu ni Darasa la kwanza mpaka formfour ni bure wala michango hairuhusiwi sasa huyu mtoto alikuwa...
Armed robbers walk into a shop. The owner asks them to come back later when he has more money, and when they do...
It feels like the makings of a joke, but for a Belgian e-cigarette shop owner...
Wakuu habari za usiku?
Naomba msaada ni wapi nitapata mafunzo ya kutumia bunduki maana natarajia kuomba kibali cha umiliki.
Hii ni baada ya kusikoa ushauri wa Kamanda Siro hivi karibuni...
*Vigezo vilivyokuwezesha wewe ukapata kazi, ndivyo vigezo alivyonavyo mwenzako lakini akakosa kazi.*
*Dua uliyomuomba Allah na ukajibiwa ni hiyo hiyo anayoiomba mwenzako lakini hajajibiwa.*...
Serikali ya CCM inaendelea kuboresha maisha ya watanzania kwa kuweka umeme vijijini na mjini.
Mwenye Macho hambiwiii Tazama ! Umeme Vijijini hauchagui Aina ya Nyumba ! Tunaamini Uwepo wa Umeme...
Yasemekana ni sababu ya kutokukubaliana kwenye mazungumzo ya kimkataba licha ya wizara husika kuingilia kati,,
the saga continue,,
pamoja na yote haya waziri mawasiliano na uchukuzi bado yuko...
Amesema Kwamba Katibu Mkuu wa ccm hakukataa wasanii kutumika kwenye Majukwaa ya kampeni za ccm , BALI ALINUKULIWA VIBAYA.
Hivi wakuu ni kweli kwamba Bashiru Ally alinukuliwa vibaya ?
Kumezuka wimbi la wizi chuo Kikuu cha Dar es Salaam hasa katika maofisi ya wahadhiri. Usiku wa kuamkia leo kuna ofisi moja imevunjwa na mvunjaji kuiba computer yenye thamani isiyopungua 1. 5...
Yaani hakuna watu walioonyooka kama watumishi wa umma ,haijalishi mkuu wa idara, afisa, mhudumu wa ofisi ,waziri, RAS, ma ded wote nidhamu imerejea.
Hapa ni kazi tuuuuu
Kunywa kunywa hovyo...
Habari,
Kumekuwa na nadharia mbali mbali zinazo zungumzwa kuhusu suala zima la nyeto.
Binafsi ningependa kutoa mtazamo wangu kuhusiana na hili suala
Kila mwanaume rijali hata kama anademu wake...
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imetoa hati ya kukamatwa kwa Mfanyabiashara, Ndama Shabani Hussein maarufu ‘Pedeshee Ndama Mtoto ya Ng'ombe’ baada ya kukiuka taratibu za dhamana.
Pia, mahakama...
Ama kweli kazi ya Rabuka haina makosa. Humpa amtakaye na kumnyima mwingine.
Nchi nzuri amezipa viongozi wabaya na baadhi ya nchi mbaya kazipa viongozi wazuri.
Mfano ni mama Hillary Clinton. Watu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.